The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Nyumba ya jirani yangu kama inaungua naye hayupo ni kosa nikimpigia simu kumjulisha! Ndugu akipata ajali na nikipiga simu kuwajulisha ndugu nalo ni kosa? Yote hii ni kudhibiti taarifa kuhusu vifo wakati huu! Tuko safarini tumekuta ajali au daraja limebomoka nikipiga simu kujulisha wahusika nalo ni kosa!Wakuu Salaam;
ππ Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
View attachment 1436129
Bosw akiagiza jambo, unakeleza kwa maslah ya Boss. Yeye ndiyo kakueka kweny hiyo nafasiJukumu la kutengeneza kizazi chenye uzalendo huwa lipo mikononi mwa serikali wala si wananchi.
Wengi huwa tuna imani serikali hujengwa na kundi la raia wenye elimu mbalimbali ili kusogeza nchi mbele. Ila kama wanatumia elimu zao kufanya upumbavu ni aibu sana kwa Taifa. Serikali acheni kutumia nguvu hizi kwa wateka wasioweza hata kushika jiwe wawarushie.
Atakayekiuka agizo, kukiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii nguvu inayotumika kupambana na upinzani mgewapa support kidogo tu tungekuwa mbali sana ....tutawapigia tu kuwaambia kuhusu ndugu zetu wanaozikwa usiku na kukataliwa hospitalini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikiuka agizo, utakionaNyumba ya jirani yangu kama inaungua naye hayupo ni kosa nikimpigia simu kumjulisha! Ndugu akipata ajali na nikipiga simu kuwajulisha ndugu nalo ni kosa? Yote hii ni kudhibiti taarifa kuhusu vifo wakati huu! Tuko safarini tumekuta ajali au daraja limebomoka nikipiga simu kujulisha wahusika nalo ni kosa!
Ukitumia namba ya simu..mfn kama ile iliyotolewa na mbowe, utakiona.Kwahio nikipiga ile namba ya umi kutiport janga la mgonjwa nitakuwa nimetenda kosa wakuu
TCRA wamesema ni marufuku..usibishane na serikali, utakiona.Hapa sijaelewa mimi tu au tuko wengi?
"KUTOA AU KUPOKEA TAARIFA KWA UMMA"
Yaani Kama kuna tukio nalishuhudia Kama ule moto wa Lori la MAFUTA moro so sipaswi kutoa taarifa kwa umma?? Au nikitumiwa taarifa pia nakuwa mkosaji??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitumia namba ya simu..mfn kama ile iliyotolewa na mbowe, utakiona.
Tutakapofikia uchaguzi nadhani chamoto tutakuwa tumekiona na hasa viongozi wa upinzani huenda kutakuwa maagizo mengi zaidi kuhusu matumizi ya simu.Ukikiuka agizo, utakiona
Yes telegram at least. Kinyume na hapo, utakiona.Hio namba ya mboe ni hatari ndo watakuwa wanaifayilia hapo solution ni kufungua account telegram
Lengo ni kuminya uhabarishaji kutoka pembe zote za tanzaniaTutakapofikia uchaguzi nadhani chamoto tutakuwa tumekiona na hasa viongozi wa upinzani huenda kutakuwa maagizo mengi zaidi kuhusu matumizi ya simu.
How sure ar you?Huku JF of GT leo tu tayari wengi wamo hatiani kwa kukiuka agizo hilo.