Hapa unamaanisha kizazi cha wajinga na sio wazalendo.Jukumu la kutengeneza kizazi chenye uzalendo huwa lipo mikononi mwa serikali wala si wananchi.
Wengi huwa tuna imani serikali hujengwa na kundi la raia wenye elimu mbalimbali ili kusogeza nchi mbele. Ila kama wanatumia elimu zao kufanya upumbavu ni aibu sana kwa Taifa. Serikali acheni kutumia nguvu hizi kwa wateka wasioweza hata kushika jiwe wawarushie.
wawakamate akina mange kimambi ndiyo wanaotoa taarifaWamesema hakuna kutoa taarifa za majanga kupitia namba binafsi bali namba maalumu..la sivyo utakiona.
Wale wako nje. Wanashughulika na watu kama wewe wa ndaniwawakamate akina mange kimambi ndiyo wanaotoa taarifa
Kwann unafikiri wamepotoka wakati wanapamban na covidChadema wamepotoka.
Mahiga bye 👋Yes telegram at least. Kinyume na hapo, utakiona.
TCRA mnaweka vikwazo vya ajabu sana bila hata kufikiria impact yaakeWakuu Salaam;
👇👇 Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
View attachment 1436129
Sio kosa,Wana maana namba ambayo wao hawaikubaliKwahio nikipiga ile namba ya umi kutiport janga la mgonjwa nitakuwa nimetenda kosa wakuu
Kwa hiyo mfano nyumba yangu imeungua na nahitaji msaada nampigia Nani simu?,au napiga tceraWamesema hakuna kutoa taarifa za majanga kupitia namba binafsi bali namba maalumu..la sivyo utakiona.
Wanahangaika kuzima watu kutoa taarifa, Siku hizi watu wanatumia facebook, tweeter na vyanzo vingne mtawapata wapi? Ukiziba huku watu wanakuja na mbadala ndio maaana Yule kigogo hadi Leo mmeshindwa kumkamata, ujue Mimi nashangaaa hivi Kwa sasahivi unaweza kuwathibiti watu kutoa taarifa kupitia Simu? Dunia ina njia nyiiiingi, Leo hiii watu weeengi wako tweeter taarifa nyingi zinapita tweeter na Tweeter hamna Uwezo wa kumfikia mtuWakuu Salaam;
[emoji116][emoji116] Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
View attachment 1436129
Huu si wakati wa kutishanaWakuu Salaam;
👇👇 Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
View attachment 1436129
Wanahangaika tu, wametunga masheria ya ovyo kuwanyamazisha watu bado tu hawajafaulu, taarifa za kimtandao huwezi dhibitiHapa sijaelewa mimi tu au tuko wengi?
"KUTOA AU KUPOKEA TAARIFA KWA UMMA"
Yaani Kama kuna tukio nalishuhudia Kama ule moto wa Lori la MAFUTA moro so sipaswi kutoa taarifa kwa umma?? Au nikitumiwa taarifa pia nakuwa mkosaji??
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba maaalum ni ipi? Ukiona tukio Morogoro utoke had daaar uombe namba maalum, Halafu ndio upewe urudi Moro ukalipot AuUmuhimu upo ila utumie namba maalumu na siyo pendekezi, la sivyo utakiona
Hivi mkurugenzi mkuu wa hicho ki tcra ni nani ?Wakuu Salaam;
[emoji116][emoji116] Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
View attachment 1436129
Hao wameagizwa tu msiwaoneee wamepewa maelekezo tu, hata wao hawapendi kuzuia taarifa kwa umma maaana nao wamo humu humu tunachati nao mmoja ni Rafiki Yangu huko kwenye kitengo maalumu kwenye maamlaka aanasikitikaWananchi wasiposema Corona ndiyo itakwisha? Halafu aliyetoa hilo tangazo utakuta ni PhD holder kabisa.
Hiv Stella1975 haujaelewa tangazo?Namba maaalum ni ipi? Ukiona tukio Morogoro utoke had daaar uombe namba maalum, Halafu ndio upewe urudi Moro ukalipot Au
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatuonea tu Ccm, sisi wala hatuhusiki, haya yooote mnayoyaona ni ya bwana Yule Kwa kuwa amezungukwa na walinzi, sisi Ccm asili tumeshangaaa kila kukicha na kujiuliza hivi hiii ndio ile cccm yetu Au tunaota?Serekali ya CCM ni ubabe tu kwenda mbele, hao wakoloni basi walikua na afadhali