TCRA naomba mchunguze namba hii inanisumbua

Kuanzia jana napata message kutoka namba 0738264152 inaniambia naomba unitumie hiyo hela kwenye namba hii ya Airtel 0695662564 jina AGNES ALKADO nakusubilia kwa wakala.
Naomba fuatilieni tukomeshe usumbufu huu
Wako wengi hao. Huwa wanawabahatisha wazazi wa watoto wanaosoma mbali (boarding schools) kwa kujifanya waalimu & matrons, watu wa vijijini na wanye haraka na maamuzi.
 
Utajisumbua tu ,hao dawa ni kuwa ignore tu block #

Ova
 
Kuanzia jana napata message kutoka namba 0738264152 inaniambia naomba unitumie hiyo hela kwenye namba hii ya Airtel 0695662564 jina AGNES ALKADO nakusubilia kwa wakala.
Naomba fuatilieni tukomeshe usumbufu huu
Uwezo wa utaalamu wa mtuhumiwa uko juu kuliko TCRA.
 
Back
Top Bottom