NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Wako wengi hao. Huwa wanawabahatisha wazazi wa watoto wanaosoma mbali (boarding schools) kwa kujifanya waalimu & matrons, watu wa vijijini na wanye haraka na maamuzi.Kuanzia jana napata message kutoka namba 0738264152 inaniambia naomba unitumie hiyo hela kwenye namba hii ya Airtel 0695662564 jina AGNES ALKADO nakusubilia kwa wakala.
Naomba fuatilieni tukomeshe usumbufu huu
...Hivi ni Kwa Nini ? [emoji848][emoji848]...Namba za TTCL ndo zinaongoza kwa huu ushenzi
Uwezo wa utaalamu wa mtuhumiwa uko juu kuliko TCRA.Kuanzia jana napata message kutoka namba 0738264152 inaniambia naomba unitumie hiyo hela kwenye namba hii ya Airtel 0695662564 jina AGNES ALKADO nakusubilia kwa wakala.
Naomba fuatilieni tukomeshe usumbufu huu