TCRA nasikia mnataka kutoa zuio la VPN kuanzia Jumatatu

TAFEYOCO yawataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii vizuri
 
TCRA ni taasisi ya umma iache kutumika kisiasa na kujipendekeza kwa mtawala ambaye huteua mkurugenzi wake. TCRA ifanye kazi zake kwa weledi na ufanisi bila mihemko ya kisiasa, vinginevyo itaitia nchi gizani na kuirudisha nyuma kwenye zama za kale za ujima kimawasiliano na itakuwa aibu kwa nchi
 
Hivi kale kamwala kana umri gani usijekuta ni dogo aliyezaliwa 2012 ndio kapewa kitengo sisi tunahisi ni mtu mzima. Si unaona kalivyo kadogo kama mafanikio ya masikini?
 
hafai hapo, TCRA imekuwa ya hovyo sana tangu kawe ka bosi pale. Kakiendelea kuwa pale katatoa maamuzi mabaya na nchi itaingia gizani na kudumaa kwenye mawasiliano
 
Labda wakizuia ndio watakuwa wametukomesha
 
Kama mafuriko ya mvua za msimu huwatoa knock out, VPN watawezaje kuzidhibiti? Wakifanikiwa inaibuka teknolojia nyingine kuruka vikwazo vya mawasiliano
 
hafai hapo, TCRA imekuwa ya hovyo sana tangu kawe ka bosi pale. Kakiendelea kuwa pale katatoa maamuzi mabaya na nchi itaingia gizani na kudumaa kwenye mawasiliano
Mimi nilivyo ningemuandikia barua raisi na kumwambia kuwa hayo maamuzi anayo taka nifanye ni kinyume na kanuni na masharti ya kazi yangu. Sitaweza kuyatekeleza kwasababu yanavunja katiba ya inchi na ni kinyume na maslahi ya jamii.

Akinifukuza sawa nitakwenda huko porini kufuga kuku wa kienyeji na familia yangu itapata mahitaji yake kama kawaida na MUNGU atanilindia utu wangu kwenye jamii na kunipa heshima ninayostahiki kama raia mwema.
 
Kabakiza kujinyea tu saa100 kila aibu kashapata
sativa255_-20250907-0001.jpg
 
Haki ya kupata mawasiliano ni infinity justice hakuna wa kuweza kuzuia mawasiliano nyakati hizi tangu zama za kale watu wanawasiliana bila vikwazo. Mawasiliano hayana limitation zaidi ya kuweka regulation tu ili kuingiza siasa, by the way there is no limit to commucate. Watu wataendelea kuwasiliana hata kwa kuruka viunzi na vikwazo vya mawasiliano
 
Mimi nilivyo ningemuandikia barua raisi na kumwambia kuwa hayo maamuzi anayo taka nifanye ni kinyume na kanuni na masharti ya kazi yangu. Sitaweza kuyatekeleza kwasababu yanavunja katiba ya inchi na ni kinyume na maslahi ya jamii.

Akinifukuza sawa nitakwenda huko porini kufuga kuku wa kienyeji na familia yangu itapata mahitaji yake kama kawaida na MUNGU atanilindia utu wangu kwenye jamii na kunipa heshima ninayostahiki kama raia mwema.
tatizo ni umasikini, nchi zingine wafanyakazi hawana umasikini, bosi ukileta uamuzi mbaya kwa umma unaachiwa kazi
 
Back
Top Bottom