X factor
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,436
- 2,298
Wahuni siyo watuShemeji peter.
Wahuni siyo watuShemeji peter.
Usisahau kuna afande Mafwele, afande Awadh na magenge yaoMimi nilivyo ningemuandikia barua raisi na kumwambia kuwa hayo maamuzi anayo taka nifanye ni kinyume na kanuni na masharti ya kazi yangu. Sitaweza kuyatekeleza kwasababu yanavunja katiba ya inchi na ni kinyume na maslahi ya jamii.
Akinifukuza sawa nitakwenda huko porini kufuga kuku wa kienyeji na familia yangu itapata mahitaji yake kama kawaida na MUNGU atanilindia utu wangu kwenye jamii na kunipa heshima ninayostahiki kama raia mwema.
kuingiza nchi gizani unalinda nini? Watajikomoa wenyewe piaLabda wakizuia ndio watakuwa wametukomesha
CCM hawanaga akili.Mimi nilivyo ningemuandikia barua raisi na kumwambia kuwa hayo maamuzi anayo taka nifanye ni kinyume na kanuni na masharti ya kazi yangu. Sitaweza kuyatekeleza kwasababu yanavunja katiba ya inchi na ni kinyume na maslahi ya jamii.
Akinifukuza sawa nitakwenda huko porini kufuga kuku wa kienyeji na familia yangu itapata mahitaji yake kama kawaida na MUNGU atanilindia utu wangu kwenye jamii na kunipa heshima ninayostahiki kama raia mwema.
Roho hiyo unayo wewe sio wao.Mimi nilivyo ningemuandikia barua raisi na kumwambia kuwa hayo maamuzi anayo taka nifanye ni kinyume na kanuni na masharti ya kazi yangu. Sitaweza kuyatekeleza kwasababu yanavunja katiba ya inchi na ni kinyume na maslahi ya jamii.
Akinifukuza sawa nitakwenda huko porini kufuga kuku wa kienyeji na familia yangu itapata mahitaji yake kama kawaida na MUNGU atanilindia utu wangu kwenye jamii na kunipa heshima ninayostahiki kama raia mwema.
Nani tena huyo?
Kabisa inaitwa kuwajibika. Mimi nisingeweza aisee. Unajua ni unafiki sana. Sasa hawa watakuja kusema kuwa walikuwa hawana namna?tatizo ni umasikini, nchi zingine wafanyakazi hawana umasikini, bosi ukileta uamuzi mbaya kwa umma unaachiwa kazi
kah!VPN utaifungiaje?
App inkakuja na server zipo nchi karibu 40, ukichagua mfano US inakupa lists NEw York, California, Texas-Dallas n.k
Yaani we ni kupaa u nchi tofauti tofauti, hapa nipo naandika kutoka Germany...
Sasa wangenifanya nini na nimegoma kufanyia kazi amri ambayo ni wazi inakiuka sheria za inchi.Usisahau kuna afande Mafwele, afande Awadh na magenge yao
Watu tumeenda nchi zenye itikadi kali na bado vpn wameishindwa...😂😂😂Haha, asa unazuia vipi VPN?, kuna vitu kwa nchi kama TZ hauwezi kuvicontrol ikiwemo hyo VPN labda uzime internet nchi nzima.
uzime internet? Utajitenga na dunia mjuba, tena unaweza ukaharibu uchumi kabisa, na huu utakuwa ni uwendawazimu kamiliSolution ni kuzima Internet, turudi zama za ujima
Simu mimgi siku hizi zinakuja na inbuilt VPN hapo itakuwajeNafurahi kuwajulisha kwamba mmesha feli.