TCRA nasikia mnataka kutoa zuio la VPN kuanzia Jumatatu

Usisahau kuna afande Mafwele, afande Awadh na magenge yao
 
Umasikini ni mbaya sana, nchi tajiri ukileta maamuzi ya hovyo kama haya unaachiwa kazi, wafanyakazi wanajiudhulu kwa maslahi ya umma
 
VPN utaifungiaje?
App inakuja na server zipo nchi karibu 40, ukichagua mfano US inakupa lists NEw York, California, Texas-Dallas n.k
Yaani we ni kupaa tu nchi tofauti tofauti, hapa nipo naandika kutoka Germany...
 
TCRA hawajui kama wanatoa madili makubwa kwa maprosesa wa VPN. Wale jamaa wanaingia mzigoni kuboresha VPN zao kuwa na uwezo mkubwa zaidi kuruka viunzi na vikwazo vya mawasiliano. Hitaji la hiyo teknolojia litakuwa ni kubwa kwa mazingira kama haya yanayosababishwa na na TCRA. Ni fursa kwa prosesa kubuni teknolojia zinazoruka vikwazo kuwasiliana
 
CCM hawanaga akili.
 
Roho hiyo unayo wewe sio wao.
 
tatizo ni umasikini, nchi zingine wafanyakazi hawana umasikini, bosi ukileta uamuzi mbaya kwa umma unaachiwa kazi
Kabisa inaitwa kuwajibika. Mimi nisingeweza aisee. Unajua ni unafiki sana. Sasa hawa watakuja kusema kuwa walikuwa hawana namna?
 
VPN utaifungiaje?
App inkakuja na server zipo nchi karibu 40, ukichagua mfano US inakupa lists NEw York, California, Texas-Dallas n.k
Yaani we ni kupaa u nchi tofauti tofauti, hapa nipo naandika kutoka Germany...
kah!
 
Haha, asa unazuia vipi VPN?, kuna vitu kwa nchi kama TZ hauwezi kuvicontrol ikiwemo hyo VPN labda uzime internet nchi nzima.
Watu tumeenda nchi zenye itikadi kali na bado vpn wameishindwa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…