TCRA, nawaombea msamaha Wasafi TV

TCRA, nawaombea msamaha Wasafi TV

Kuna watu huwa wanatoa adhabu,bila kufikiri kwa kina
 
Hizi media ambazo zinakusanya watu wenye sifa ya kujua kuongea Sana badala ya kuwa na elimu husika ndio tatizo.
Tatizo hao wenye elimu nao syo wabunifu
Wako wko tu kama wko RTD

Ova
 
Hizi media ambazo zinakusanya watu wenye sifa ya kujua kuongea Sana badala ya kuwa na elimu husika ndio tatizo.
Sheria zi walipitisha alafu watu wakawa wanashangilia acha wazidi kunyoosha
Safi sana sanaaaa

Ova
 
Sheria zilipitishwa kwa oyeeee acha zifanye kazi maana ndio kampeni walizipiga kwa moyo wote!
 
Hiyo miezi 6 hao wafanyakazi wao waende chuo wakafanye course moja tu inayohusu hiyo knowledge wanayomis kwenye kazi yao, baada ya hapo watarudi kazini wamenyooka, tena kila mmoja atupwe chuo chake.
Yule baba levo atupwe chuo cha tumaini iringa akanywe ulanzi.
 
Kuna wajinga wanajua kujipendekeza si mchezo yaani badala ya kuomba msamaha Kwa MUNGU wako unaenda kuombea wapuuzi wenzio wafunguliwe?
 
Hawa TCRA waache unafiki. Nyimbo na vipindi tunavyoona kwenye tv za kitanzania ni zaidi ya alichovaa huyo gigy.
Kuna kitu cha ziada kwa kweli. Kwanza kazi ya TCRA ni kufungia tu?
 
Wasafi walishapigwa onyo na faini kwa mambo hayo hayo "kipindi cha woman matters", wakaja wakafungiwa week moja kwa sababu ya mambo hayo hayo "inshu ya babalevo" sahivi wamerudia Tena kosa.

Siwachukii wasafi ila hiyo adhabu ni msamaha tosha, walistahili zaidi ya adhabu hiyo waliopewa

Note: watu wanatumia zaidi ya miaka >2 chuoni kusomea uandishi wa habari kwa hiyo uandishi wa habari sio kazi rahisi kiasi hicho
Lakini Wasafi Media wajitathmini. Ajira zao vilevile wazitathmini. Unapoajiri makanjanja kwenye tasnia inayohitaji weledi tarajia makosa haya kujitokeza mara kwa mara. Mtu kama Baba Levo (confuser) ndio mtangazaji utarajie nini kama sio shida. Lazima tukiri kwamba kunahitaji universal intervention katika tasnia ya habari ili wale tu wenye sifa ndio wahabarishe, waelimishe jamii. Sidhani watu wa type ya Baba Levo wanaweza kuisaidia media yoyote hapa Tanzania. Tuzingatie Media inakwenda kuwa Muhimili wa 4. Hivyo lazima iwe regulated na State ili tupate mavuno mema
 
Vijana wa Lumumba mmezidi shetani kwa tabia za kinafiki na kishetani,hivi unajua wafanya kazi wa gazeti la tanzania daima wako wapi baada ya gazeti lao kufungiwa katika mazingira ya kihuni? Vijitu vibinafs sana mnakera,kwann msipige kelele pale sheria zinapovunjwa bila kujali itikadi za vyama?Wakitumaliza sis watawageukia nyie ,Lissu,feb 2017
 
Utakuwa mwajiriwa pale.


Mwaka umeanza na nuksi daaah.


Wangepunguza adhabu sio kufutiwa maana hata clouds mbona wanaenjoigi ban
 
Serikali ioneeni huruma hii kampuni.

Kuna wawekezaji Watanzania walioweka mitaji yao hapo na kutoa ajira kwa Watanzania, ina wanyakazi wanaoendesha maisha yao na familia zao kupitia hapo, kodi zilipwazo Serikalini hvyo kuifungia kampuni ni kuumiza huo mnyororo tajwa hapo juu

Kama inawezekana wapunguzieni ukubwa wa adhabu au wapigwe hata faini, lakini total ban for 6 months ni parefu sana

Hvyo nami naungana na mleta mada kuwaombea msamaha WASAFI TV,
TCRA waoneeni huruma vijana HAWA mtaumiza biashara na maisha ya hawa wafanyakazi kwa ujumla
 
Hii basata hii ili iweze kwenda na wakati inahitaji viongozi vijana. Hawa wazee wakati umewapita wanafanya maamuzi ya kizee.
Vijana wasasa ndo wanatakiwa waiongeze hiyo basata
 
Hawa TCRA waache unafiki. Nyimbo na vipindi tunavyoona kwenye tv za kitanzania ni zaidi ya alichovaa huyo gigy.
Kuna kitu cha ziada kwa kweli. Kwanza kazi ya TCRA ni kufungia tu?
well said mkuu👊
 
Kwanini waruhusu na kutengeneza mazingira ya kufungiwafungiwa, tena nilisikia siyo Mara moja kufungiwa,kwani hawana wanahabari walioenda shule hawa wanaojua ethics za kiuandishi vzuri,huwa nashangaa na inanipa mashaka kwa namna vyombo vyetu vinavyokwenda s,ijapokuwa sifahamu kosa lao nn......
 
Kuna watu huwa wanatoa adhabu,bila kufikiri kwa kina
Sheria si zilipitishwa na bunge na watu wakagonga meza kwa kwa kwa!
Tanzania daima lilifungiwa mpaka leo hawjarudi
So acha tuvumilie tu mzee

Ova
 
Mimi nashauri waongeze adhabu. WCB wamezidi uhuni na kupromote wasanii malaya. Sio siku nyingi walifungiwa kwa lugha za matusi,hawajifunzi?
Mnachoandika inaakisi chuki iliyojificha ndani ya kifua chako.Then mlitaka mpewe nchi,si mngekua mnanyonga watu Kila siku nyinyi
 
Back
Top Bottom