TCRA, nawaombea msamaha Wasafi TV

TCRA, nawaombea msamaha Wasafi TV

Waandikie barua uwasilishe maombi yako
 
I think issue sio live show

Bali Ile short clip ya wasafi show Dodoma ikipnyesha video ileile ya uchi ya giggy ugly... And the clip ni well recorded na sponsor logo yake (tigo) imetumika
 
Hata uchezaji wake ni wakihunihuni usio na staha!

Wamezidi kwa kweli.
 
Ni muda muafaka kwa watangazaji wake kwenda kozi ya uandishi wa habari waache kueneza ufuska maana inaelekea ndiyo agenda yao ya siri.

Adahabu ikiongezwa kwa miezi sita mingine watakuwa wamesoma module za kutosha
 
Wanaajiri kina baba levo unategemea nini

Kula chuma hicho
 
Hii basata hii ili iweze kwenda na wakati inahitaji viongozi vijana. Hawa wazee wakati umewapita wanafanya maamuzi ya kizee.
Vijana wasasa ndo wanatakiwa waiongeze hiyo basata
Tatizo sio bakwata in wabunge wanaopitisha sheria hizi.....tulia kwanza dawa iingie
 
Mitano tena

Wafungiwe tu wanatoka sana nje ya maadili huwa naangaliaga kile kipindi cha magazeti cha kina Zembwela na Maulid Kitenge yani wanasoma magazeti kipuuzi kabisa. Na sijui huwa wanafanyaje interview zao mana katika mazingira ya kiwaida mimi nisingeweza kumuajiri mtu kama Zembwela au Baba Levo. Na watu waache ushabiki kwenye hili sababu tu moja ya wamiliki wa Wasafi ni Diamond NOOOOOOO kuna vyombo vingi sana tena vimefutwa kabisa
 
Ni vema wakavuna matunda ya kuajiri 'wahuni' badala ya watu wenye taaluma husika na weledi. Kodi, ajira za watu isiwe hoja ya kutuvurugia jamii. Tunahitaji maadili mazuri na jamii iliyostaarabika. Hivyo waongezewe adhabu kwa maslahi mapana ya mama Tanzania (umma).
 
Gigy alifanya makosa kwenye show ya Wasafi festival ma sio kwenye Tv ya Wasafi hivyo iliyopaswa kufungwa ni ile show

Gigy angekuwa amealikwa kwenye kipind chochote kinachorushwa na Wasafi Tv halaf akaharibu ndo wagepaswa kufungia tv

TCRA wamekurupuka
 
Mkuu uniwie radhi lakini ukweli ni kwamba una uwezo mdogo wa kufikiri sana.
Chombo cha habari kinaadhibiwa kwa maudhui kinayorusha kwa umma bila kujali kilikoyapata.
Chombo kinapaswa kuchuja habari ili ziendane na sheria,mila na desturi za jamii husika.

Kwa akili yako hiyo itakuwa sahihi pia kama runinga fulani ikionesha video za x ili mradi tu wao walialikwa kwenye tukio husika na sio waandaaji
 
Gigy alifanya makosa kwenye show ya wasafi festival ma sio kwenye tv ya wasafi hivyo iliyopaswa kufungwa ni ile show

Gigy angekuwa amealikwa kwenye kipind chochote kinachorushwa na wasafi tv halaf akaharibu ndo wagepaswa kufungia tv

Tcra wamekurupuka
Jaribu kuwa unafanya utafiti kwanza kabla hujakuja jf na uzi wako!!huwezi jiuliza mbona wasafi radio haijaadhibiwa? Hiyo show ya wasafi ilikuwa mubashara kupitia tv gani?hiyo wasafi tv ilikuwa live wakati hiyo show inafanyika, itakwepaje hiyo adhabu wakati ndio ilirusha hewani hayo maudhui machafu?!!jaribuni kuwa mnafikiria kwanza!!kama inshu huna taarifa nayo , unakaa kimya tu!!
 
Gigy alifanya makosa kwenye show ya wasafi festival ma sio kwenye tv ya wasafi hivyo iliyopaswa kufungwa ni ile show

Gigy angekuwa amealikwa kwenye kipind chochote kinachorushwa na wasafi tv halaf akaharibu ndo wagepaswa kufungia tv

Tcra wamekurupuka
Wangetakiwa wafungir you tube Tanzania
 
Gigy alifanya makosa kwenye show ya wasafi festival ma sio kwenye tv ya wasafi hivyo iliyopaswa kufungwa ni ile show

Gigy angekuwa amealikwa kwenye kipind chochote kinachorushwa na wasafi tv halaf akaharibu ndo wagepaswa kufungia tv

Tcra wamekurupuka

We kweli kiazi ile show ilikua Wasafi Festival???

Au Wasafi Tumewasha? Ya kutangaza(uzinduzi) wa kuonekana hiyo TV kwenye mikoa(Dodoma)

Hata hivyo kwa vyovyote vile wanawajibishwa kwa kurusha kile walichorusha. Angefanya jukwaani watu wakarekodi kwa simu angewajibishwa aliyerusha. Au wewe mwenyewe ndo Gigy?
 
Back
Top Bottom