Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu Corona au siasa?Wao ndio hamnazo viongozi wao wakuu wanarushiana vijembe hadharani!
Wewe umeona wakenya bado wanavaa barakoa?!Kuhusu Corona au siasa?
Hakuna unafiki Wa kuogopana kinafiki kama huku kwetu.Wao ndio hamnazo viongozi wao wakuu wanarushiana vijembe hadharani!
Wanabadilisha kizungu kwenda kiswahili kama sentesi ilivyo.Hii kiswahili yao iko straight sana hawapunguzi ukali wa maneno.
NdioWewe umeona wakenya bado wanavaa barakoa?!
Kama ni kweli basi hamna tatizo hapo.Hawa ndugu zetu Wakenya naona wameamua kuishika Serikali yetu sharubu kwa kutuita “Hamnazo”
View attachment 1708621
Hawajaamua tu, mbona wanaweza tena sanaaa tu. Maana sisi ndio sisi ukanda huuuHawa ndugu zetu Wakenya naona wameamua kuishika Serikali yetu sharubu kwa kutuita “Hamnazo”
View attachment 1708621
Kiswahili cha kenya ukitaka kukitafsiri kwa cha kwetu, utakuwa unagombana na watu kila siku!!kumbe wanamaana nzuri tu!Hawa ndugu zetu Wakenya naona wameamua kuishika Serikali yetu sharubu kwa kutuita “Hamnazo”
View attachment 1708621
Bora hao wanasemana hadharani, sisi huku Tz wanalambana viatu hadharani.Wao ndio hamnazo viongozi wao wakuu wanarushiana vijembe hadharani!
NDIOWewe umeona wakenya bado wanavaa barakoa?!
Kujitia hamnazo maana yake ni sawa na kuwa na akili lakini unajifanya hunazo ama kuwa na uelewa wa kitu lakini ulajifanya hukijuiHawa ndugu zetu Wakenya naona wameamua kuishika Serikali yetu sharubu kwa kutuita “Hamnazo”
View attachment 1708621