TCRA rungu lao lingekuwa linafika Kenya, wangeifungia Citizen maisha

TCRA rungu lao lingekuwa linafika Kenya, wangeifungia Citizen maisha

Kujitia hamnazo maana yake ni sawa na kuwa na akili lakini unajifanya hunazo ama kuwa na uelewa wa kitu lakini ulajifanya hukijui
Kuna tofauti kati ya "kujitia hamnazo (kujifanya hamnazo)" na "kuwa hamnazo".
 
EuxuvE0WQAAruql.jpeg


kauli gani hiyo wametumia? hii ni dharau na inabidi watuombe radhi, huku ni kulidharau taifa zima
 
Akili hawana, hamnazo vile vile. Kujitia wanajua na kuwashwawashwa na yasiyowahusu. Ni bora wakae kimya kwa vile hakuna mwenye njia sahihi katika vita tuliomo.
 
Wale wanaojidai wanazo Mbona hawakuwaandika hapo tuwajue Ili tuone kama wao wameondokana na tatizo Hilo?
 
Hao huwa ni wagonjwa wa akili.

Baada ya corona mpuuzi mwingine ni Kenya.
 
Back
Top Bottom