TCRA rungu lao lingekuwa linafika Kenya, wangeifungia Citizen maisha

Kujitia hamnazo maana yake ni sawa na kuwa na akili lakini unajifanya hunazo ama kuwa na uelewa wa kitu lakini ulajifanya hukijui
Kuna tofauti kati ya "kujitia hamnazo (kujifanya hamnazo)" na "kuwa hamnazo".
 


kauli gani hiyo wametumia? hii ni dharau na inabidi watuombe radhi, huku ni kulidharau taifa zima
 
Akili hawana, hamnazo vile vile. Kujitia wanajua na kuwashwawashwa na yasiyowahusu. Ni bora wakae kimya kwa vile hakuna mwenye njia sahihi katika vita tuliomo.
 
kwaiyo sisi ni hamnazo?
Dadavua kidogo hiyo kauli na fatilia yanaendelea kwenye hii nchi hasa kwenye huu ugonjwa thn uniambie tofauti ya huo msemo na tunachofanya ni nini
 
Wale wanaojidai wanazo Mbona hawakuwaandika hapo tuwajue Ili tuone kama wao wameondokana na tatizo Hilo?
 
Hao huwa ni wagonjwa wa akili.

Baada ya corona mpuuzi mwingine ni Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…