GE2025 TCRA tunaomba msitishe sms za bure za TAKUKURU, INEC, nk laini tunazomiliki siyo kwaajili ya matangazo ya bure bali mawasiliano, acheni kiburi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Tumechoka na kiburi chenu TCRA na makampuni ya somu haiwezekani sisi tununue simu na laini halafu nyie mpitishie matangazo yenu bure wakati sisi tunalipia bwana.

Kila sekunde ni matangazo tu hadi chaji zinaisha hatulipwi chochote mnanifaika nyie tu sasa wekeni basi option ya matangazo mtu akitaka ajiunge kwa hiari yake siyo kwa lazima.

Mara takukuru,nec,bet,ofa,nk sisi ya nini hatutaki huu ni usumbufu,ebo!!

Ni wazi tcra na mitandao ya simu wanalipwa kwa haya matangazo sasa ila sisi hatulipwi na haturuhusiwi kujibu au kuhoji chochote basi wenye simu zetu tulipwe pia.
 
Sidhani kama unaakili timamu kwa jibu hili na siyo lazima kila hoja uchangie kama huna akili,ebo!!
Mkuu naona hujamuelewa alivyomaanisha, nchi hii kama hutaki shida unashauriwa uamie Burundi(kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa juu serikalini)
 
Ukiachana na siasa lakini bado tuna sababu nyingine nyingi za kupindua nchi hii
 
Ni sahihi kabisa,tatizo watanzania wameaminidhwa siasa ndiyo sababu pekee ya kupindua nchi hawafikirii nje ya siasa
 
C upige block hizo sms, mbona mnafanya mambo yawe magumu hvy wazee
 
Tumechoka na kiburi chenu TCRA na makampuni ya somu haiwezekani sisi tununue simu na laini halafu nyie mpitishie matangazo yenu bure wakati sisi tunalipia bwana.

Kila sekunde ni matangazo tu hadi chaji zinaisha hatulipwi chochote mnanifaika nyie tu sasa wekeni basi option ya matangazo mtu akitaka ajiunge kwa hiari yake siyo kwa lazima.

Mara takukuru,nec,bet,ofa,nk sisi ya nini hatutaki huu ni usumbufu,ebo!!
Shida ni kuwa tukiwa tunasajili line huwa hatusomi masharti. Huwa tuna shuka tu chini na kuclick accept tu na ku proceed. Mitandao wala hawana shida katika hili.. utawalaumu bure... tujenge utaratibu wa kusoma yale masharti itatusaidia kutokulalamikia matatizo tulotengeneza wenyewe
 
Mkuu naona hujamuelewa alivyomaanisha, nchi hii kama hutaki shida unashauriwa uamie Burundi(kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa juu serikalini)
Wewe umeona hilo jibu linastahili kutolewa na mtu mwenye akili timamu kweli?ni jibu au mzaha?yaani nikimbie nchi yangu kisa sms?kuna wakati mizaha kama hii inatufikisha pabaya na siyo kila mtu humu anapenda majibu ya mizaha,ebo!
 
Shida ni kuwa tukiwa tunasajili line huwa hatusomi masharti. Huwa tuna shuka tu chini na kuclick accept tu na ku proceed. Mitandao wala hawana shida katika hili.. utawalaumu bure... tujenge utaratibu wa kusoma yale masharti itatusaidia kutokulalamikia matatizo tulotengeneza wenyewe
Kwahiyo kwenye masharti kuna sehemu wamesema tcra au makampuni yasimu watatuma matangazo yao kwenye laini za wamiliki kwa lazima au wanaposema "vigezo na masharti kuzingatiwa" ndiyo tayari wameruhusiwa?

Tcra wenyewe anasheria zao ikiwemo kutombugudhi mtu au uwepo wa faragha kuzingatiwa
 
Je nini cha kufanya:

- Ukipokea ujumbe.
1. Gusa Options
2. Chagua Add to blacklist

- Matokeo: Hauto ona tena hizo jumbe (sms)
Swala ni kutumiwa sms siyo kublock kwani hata ukiziblock tayari umetumiwa na zinakuwa zimejificha tu,tuelewane!!
 
Ni sahihi kabisa,tatizo watanzania wameaminidhwa siasa ndiyo sababu pekee ya kupindua nchi hawafikirii nje ya siasa

Ni kweli, si unasikia Madagascar huko, watu wamechukua nchi sababu hawakubaliani na mfumuko wa bei.
 
Wabongo mnapenda sana kulalama, hivi kuripoti spam hamuwezi?
 
Back
Top Bottom