GE2025 TCRA tunaomba msitishe sms za bure za TAKUKURU, INEC, nk laini tunazomiliki siyo kwaajili ya matangazo ya bure bali mawasiliano, acheni kiburi

GE2025 TCRA tunaomba msitishe sms za bure za TAKUKURU, INEC, nk laini tunazomiliki siyo kwaajili ya matangazo ya bure bali mawasiliano, acheni kiburi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tumechoka na kiburi chenu TCRA na makampuni ya somu haiwezekani sisi tununue simu na laini halafu nyie mpitishie matangazo yenu bure wakati sisi tunalipia bwana.

Kila sekunde ni matangazo tu hadi chaji zinaisha hatulipwi chochote mnanifaika nyie tu sasa wekeni basi option ya matangazo mtu akitaka ajiunge kwa hiari yake siyo kwa lazima.

Mara takukuru,nec,bet,ofa,nk sisi ya nini hatutaki huu ni usumbufu,ebo!!

Ni wazi tcra na mitandao ya simu wanalipwa kwa haya matangazo sasa ila sisi hatulipwi na haturuhusiwi kujibu au kuhoji chochote basi wenye simu zetu tulipwe pia.
IMG_9571.png
 
Back
Top Bottom