Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Serikali ya Tanzania kupitia TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu (..) kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni
Kuna mitandao fulani ya simu kila ukiweka salio la fedha katika account yako au ukitumiwa pesa unatafutwa na namba mpya yenye viashiria vya utapeli
Kinachonipa maswali ni kuwa kwanini kila ukipokea pesa au ukiweka pesa kwenye account yako basi unatafutwa na mtu anayezungumzia maswala ya pesa mwenye viashiria vya utapeli
Hawa matapeli ni nani kwasababu inaonekana dhahidi wana access ya account za pesa za Wananchi
Kama kuna Wananchi wamegundua hili waungane nami hapa tujadili na kupata ufumbuzi