TCRA tunaomba ufafanuzi kuhusu kutopatikana kwa tweeter (X) Tanzania

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Tunakwenda wiki ya pili bilaa Tweeter (X). Hakuna taarifa kutoka TCRA nini kimetokea Tweeter kutopatikana.
watu wanasema (speculate) kuwa Serikali imeifunga ,

KWAHIYO TUSEME TWEETER (x) NDIYO BASI TENA IMEFUNGWA INDEFINITELY?

TCRA tunaomba ufafanuzi
 
Wakati media zilikuwa ambaza leo tunaziita traditional, pamoja na mifumo ya udhibiti iliyowekwa, chombo cha habari kufungiwa kulifuata taratibu na maelezo yalitolewa. Internet ikatuahidi uhuru wa kuwezesha upatikanaji wa taarifa bila vizuizi, uhuru wa kujieleza na kukutana (assembly). Mifumo ya udhibiti inajikuta kwenye dunia mpya ambayo inakinzana na waliyoizoea. Matokeo yake ndio haya ya vyombo vya habari kuondoka hewani bila maelezo.
 
Tunakwenda wiki ya pili bilaa Tweeter (X). Hakuna taarifa kutoka TCRA nini kimetokea Tweeter kutopatikana.
watu wanasema (speculate) kuwa Serikali imeifunga ,

KWAHIYO TUSEME TWEETER (x) NDIYO BASI TENA IMEFUNGWA INDEFINITELY?

TCRA tunaomba ufafanuzi
Kuna mambo unajiongeza tu! Tumia VPN , Twitter (X) ipo but imekuwa restricted.
 
Halafu mtu na akili zake ndogo anatumia kodi ya wananchi kusafiri ughaibuni kualika wawekezaji waje Tanzania..nani atakuja kuishi na aina ya watu km hawa kufungia watu mawasiliano kwa sababu hazieleweki..ndiyo maana hawataki star link kuwekwa hapa sabab hawatakuwa na uwezo kufunga km walivyofanya sasa..
 
Sawa, lakini tunataka maelezo why kuifngia twita? VPN kila mtu anatumia kwa sasa, but we have a right to enquire from TCRA why Tweeter is not available to users??
 
Halafu mtu na akili zake ndogo anatumia kodi ya wananchi kusafiri ughaibuni kualika wawekezaji waje Tanzania..nani atakuja kuishi na aina ya watu km hawa kufungia watu mawasiliano kwa sababu hazieleweki..ndiyo maana hawataki star link kuwekwa hapa sabab hawatakuwa na uwezo kufunga km walivyofanya sasa..
Yule mpuuzi nep nauye aliwakatalia star link! Kichwa kile ni ziro kabisa!
 
ni aibu na kejeli.
kuzuia watu kupata habari ni uoga na hofu kwa lengo la kuficha maovu, kwa dunia ya sasa ya teknolojia hilo haliwezekani
njia rahisi ni kuacha maovu
 
Sure..dunia ya leo hakuna siri, jibu ni kuacha uovu!
 
Back
Top Bottom