Kuna mambo unajiongeza tu! Tumia VPN , Twitter (X) ipo but imekuwa restricted.Tunakwenda wiki ya pili bilaa Tweeter (X). Hakuna taarifa kutoka TCRA nini kimetokea Tweeter kutopatikana.
watu wanasema (speculate) kuwa Serikali imeifunga ,
KWAHIYO TUSEME TWEETER (x) NDIYO BASI TENA IMEFUNGWA INDEFINITELY?
TCRA tunaomba ufafanuzi
Sawa, lakini tunataka maelezo why kuifngia twita? VPN kila mtu anatumia kwa sasa, but we have a right to enquire from TCRA why Tweeter is not available to users??Kuna mambo unajiongeza tu! Tumia VPN , Twitter (X) ipo but imekuwa restricted.
Yule mpuuzi nep nauye aliwakatalia star link! Kichwa kile ni ziro kabisa!Halafu mtu na akili zake ndogo anatumia kodi ya wananchi kusafiri ughaibuni kualika wawekezaji waje Tanzania..nani atakuja kuishi na aina ya watu km hawa kufungia watu mawasiliano kwa sababu hazieleweki..ndiyo maana hawataki star link kuwekwa hapa sabab hawatakuwa na uwezo kufunga km walivyofanya sasa..
..wapo wapumbavu nyuma ya hao kina nape ndio wanaelekeza nini kifanyike.Yule mpuuzi nep nauye aliwakatalia star link! Kichwa kile ni ziro kabisa!
Sure..dunia ya leo hakuna siri, jibu ni kuacha uovu!ni aibu na kejeli.
kuzuia watu kupata habari ni uoga na hofu kwa lengo la kuficha maovu, kwa dunia ya sasa ya teknolojia hilo haliwezekani
njia rahisi ni kuacha maovu
Wakikujibu nitagTCRA tunaomba ufafanuzi