TCRA waipa onyo wasafi Tv kwa kukashifu dini ya kikristo.

TCRA waipa onyo wasafi Tv kwa kukashifu dini ya kikristo.

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Kamati ya Maudhui ya TCRA, leo Jumatano imeipa onyo Wasafi Televisheni, pamoja na kuitaka iombe radhi mara tatu kwa siku, kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumamosi, huku ikiiamuru ilipe faini ya Sh. 2 Mil., baada ya kukutwa na hatia katika kosa la kurusha maudhui yenye kukashifu dini ya Kikristo, baada ya mgeni wake, Nabii Daniel Shila, kudai ‘Yesu ni tapeli wa kwanza duniani’.

Source: mwanahalisi online
 
Wasafi wanaongoza kwa kulimwa adhabu.

Wakati Mh. Samia anachukua nchi,Wasafi walikuwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi 7.

Ni aidha wanafanya kusudi au hawapo makini pia Watangazaji hawana vigezo, uwezo na ueledi.
 
TV ZA MICHONGO KUFUATA KANUNI WAPI NA WAPI? WALIPE FAINI TU
 
Dah eti Yesu ni tapeli wa kwanza duniani. Hivi hao jamaa ina maana hawana historia na kabla ya kuzaliwa Yesu au?
 
Wasafi wanaongoza kwa kulimwa adhabu.

Wakati Mh. Samia anachukua nchi,Wasafi walikuwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi 7.

Ni aidha wanafanya kusudi au hawapo makini pia Watangazaji hawana vigezo, uwezo na ueledi.
Sikiliza kinachozungumzwa hewani.

Media za kiswahili na kihuni kweli.

Hakuna professionalism kabisa.

Sikiliza hapo mwishoni kuanzia sekunde ya 8.👇👇
 
Attachments

  • jLBfAkPJckX2DrLw.mp4
    396.7 KB
Na shillah kafungua kanisani nimemuona instagram anawaombea vijana wamenyoa viduku na mademu kwamba watakuwa mabilionea.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kitambo sana shilla anakanisa na kanisani kwake kuna kipindi alikuwa anagawa hadi pesa
 
Hahahahaaaa

Kwanini serikali inaingilia?

Kwanini huyo Yesu asiende mahakamani kufungua shitaka kama kweli ameumia?

TCRA inaumia kwa niaba ya Yesu?

Muacheni huyo Yesu aliepata hayo maumivu ndio akashitaki
Kuna mtu ambaye hata picha yake haikuwahi kuwepo duniani ila siku moja mchora katuni akajifanya kuchora katuni yake....palichimbika wewe! Mamia ya watu wakafa...na TCRA hakwenda kushtaki kuwa kachorwa!
 
Upande mwingine ingeishapigwa "takbirrrri" kisha mapnga shaaaaa!
Najivunia kuwa mfuasi wa dini zetu za asili, Ng'wanaMalundi hanaga wivu kabisa...haitaji mtu ampiganie kwa ahadi ya mabikira wa kikatesh!
 
Back
Top Bottom