TCRA waipa onyo wasafi Tv kwa kukashifu dini ya kikristo.

TCRA waipa onyo wasafi Tv kwa kukashifu dini ya kikristo.

Wasafi wanaongoza kwa kulimwa adhabu.

Wakati Mh. Samia anachukua nchi,Wasafi walikuwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi 7.

Ni aidha wanafanya kusudi au hawapo makini pia Watangazaji hawana vigezo, uwezo na ueledi.
Wafanyakazi hawana uwezo na weledi
 
Ikiendelea hivi siku atatukanwa na Mudy ndio patachimbika si unawajua hawa ndugu zetu munkari wao ni kugusa tu.
Wewee😳😳😭😭.. sasa hivi dmond angekuwa kajificha nje ya nchi yeye na familia yake.. hizo studio kungekuwa na kifusi cha vumbi tu wale ndugu zangu nawakubali hawataki masihara na wanamipaka hata kama wewe wajiona mropokaji vipi.
 
Ila jamaa si ni nabii wa dini huyihiyo!!?
Imeandikwa kama hujui!
[emoji116][emoji116]
Mathayo 7
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.

16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.

21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Na shillah kafungua kanisa nimemuona instagram anawaombea vijana wamenyoa viduku na mademu kwamba watakuwa mabilionea.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imeandikwa kama hujui!
[emoji116][emoji116]
Mathayo 7
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.

16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.

21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Itakuaje Kama huyu ndiye au laa!!?..maana wale yunaowaamini wanalawiti watoto tunaowapa wasaidie na kujifunza dini
 
Hahahahaaaa

Kwanini serikali inaingilia?

Kwanini huyo Yesu asiende mahakamani kufungua shitaka kama kweli ameumia?

TCRA inaumia kwa niaba ya Yesu?

Muacheni huyo Yesu aliepata hayo maumivu ndio akashitaki
HAHAHA WAZO ZURI HILI, SEMA MIPAKA LAZIMA IWEPO.

MIMI UKINIULIZA JUU YA ALLAH NA MTUME MUDY, NINACHO JUA WOTE NI MAREHEMU KAMA MAREHEMU WENGINE NA WANSUBIR HUKUMU KAMA WENGI. TENA NAWEZA KUSEMA MIMI NI MSAFI KULIKO HAWA MAREHEMU. SEMA SIWEZI SEMA MBELE ZA WATU.
 
Wasafi wanaongoza kwa kulimwa adhabu.

Wakati Mh. Samia anachukua nchi,Wasafi walikuwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi 7.

Ni aidha wanafanya kusudi au hawapo makini pia Watangazaji hawana vigezo, uwezo na ueledi.
Ni wazi hawana wahariri waliobobea kwenye taaluma ya uandishi wa habari

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kamati ya Maudhui ya TCRA, leo Jumatano imeipa onyo Wasafi Televisheni, pamoja na kuitaka iombe radhi mara tatu kwa siku, kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumamosi, huku ikiiamuru ilipe faini ya Sh. 2 Mil., baada ya kukutwa na hatia katika kosa la kurusha maudhui yenye kukashifu dini ya Kikristo, baada ya mgeni wake, Nabii Daniel Shila, kudai ‘Yesu ni tapeli wa kwanza duniani’.

Source: mwanahalisi online

wakat wanavaa misalaba, na wanapiga ishara ya msalaba, Mara wimbo wa "hareruya".
 
Washakuwa manunda hao...
Ila shillah tapeli kawakusanya madogo wamenyoa viduka na wanavidread pamoja na masista duu.. eti anawaonbea wawe mabilionea🤣🤣🤣!!
 
Upumbavu mtupu. YESU hawezi kupiganiwa na TCRA Aachwe Ajipiganie yeye mwenyewe.
Mambo ya dini waachiwe wenye dini. Hii comment huwezi isikia mtuma akikashfiwa, ni binadamu tunatoka tunatetea imani. Siku nyingine kaa kimya.
 
Back
Top Bottom