TCRA waipa onyo wasafi Tv kwa kukashifu dini ya kikristo.

TCRA waipa onyo wasafi Tv kwa kukashifu dini ya kikristo.

Sasa nabii halafu anamkashifu Yesu?? Au huko kwenye unabii anamhubiri Nani?? Maana unabii ni mojawapo ya karama za Roho mtakatifu ambaye huyo Roho mtakatifu tumeachiwa na Yesu (yoh14)ili awe msaidizi,mwalimu na mshauri katika safari ya kumjua Mungu.au ndo ile sikupendi Ila vitu vyako navipenda
 
Kama watu wanakesha humu kutetea matusi ya diamond katika nyimbo zake zilizojaa mashairi ya kwenda kwa mparange na kusafisha mitaro, sidhani kama hili litakemewa humu maana ni mazoea yaleyale!
 
Sasa nabii halafu anamkashifu Yesu?? Au huko kwenye unabii anamhubiri Nani?? Maana unabii ni mojawapo ya karama za Roho mtakatifu ambaye huyo Roho mtakatifu tumeachiwa na Yesu (yoh14)ili awe msaidizi,mwalimu na mshauri katika safari ya kumjua Mungu.au ndo ile sikupendi Ila vitu vyako navipenda
Anahubiri utajiri

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa nabii halafu anamkashifu Yesu?? Au huko kwenye unabii anamhubiri Nani?? Maana unabii ni mojawapo ya karama za Roho mtakatifu ambaye huyo Roho mtakatifu tumeachiwa na Yesu (yoh14)ili awe msaidizi,mwalimu na mshauri katika safari ya kumjua Mungu.au ndo ile sikupendi Ila vitu vyako navipenda
Mkuu huyu shillah na masanja ni wachumia tumbo tu..
 
Unamzuwiaje mtu kuongea,ikiwa unamfanyia usaili(interview),halafu labda ni live!!?..kwa nini wanawaadhibu?
Wangekatiza kipindi na kuomba radhi hata kama ni live ila wao walishadidia ujinga wa huyo msengerema
 
Kamati ya Maudhui ya TCRA, leo Jumatano imeipa onyo Wasafi Televisheni, pamoja na kuitaka iombe radhi mara tatu kwa siku, kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumamosi, huku ikiiamuru ilipe faini ya Sh. 2 Mil., baada ya kukutwa na hatia katika kosa la kurusha maudhui yenye kukashifu dini ya Kikristo, baada ya mgeni wake, Nabii Daniel Shila, kudai ‘Yesu ni tapeli wa kwanza duniani’.

Source: mwanahalisi online
Ingekuwa radio ya wakristu imefanya hivyo nadhani tungekuwa tunaongelea majivu maana wangekuwa waneshachoma moto
 
Huyo Nabii amepewa adhabu gani na vyombo husika?

Maana Giggy Money alifungiwa kwa kuvaa alivyovaa
 
Alichoongea Shillah ni kweli, katika kundi la wahuni aliowataja Polepole "Mwana wa Mungu" hakosekani
 
Back
Top Bottom