TV ZA MICHONGO KUFUATA KANUNI WAPI NA WAPI? WALIPE FAINI TUKamati ya Maudhui ya TCRA, leo Jumatano imeipa onyo Wasafi Televisheni, pamoja na kuitaka iombe radhi mara tatu kwa siku, kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumamosi, huku ikiiamuru ilipe faini ya Sh. 2 Mil., baada ya kukutwa na hatia katika kosa la kurusha maudhui yenye kukashifu dini ya Kikristo, baada ya mgeni wake, Nabii Daniel Shila, kudai ‘Yesu ni tapeli wa kwanza duniani’.
Source: mwanahalisi online
YULE NABII MWENYEWE WA MCHONGO, MPIGAJI MKUBWANa shillah kafungua kanisani nimemuona instagram anawaombea vijana wamenyoa viduku na mademu kwamba watakuwa mabilionea.😂😂😂
Sikiliza kinachozungumzwa hewani.Wasafi wanaongoza kwa kulimwa adhabu.
Wakati Mh. Samia anachukua nchi,Wasafi walikuwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi 7.
Ni aidha wanafanya kusudi au hawapo makini pia Watangazaji hawana vigezo, uwezo na ueledi.
haaaaaa aibu nimeona mimiSikiliza kinachozungumzwa hewani.
Media za kiswahili na kihuni kweli.
Hakuna professionalism kabisa.
Sikiliza hapo mwishoni kuanzia sekunde ya 8.👇👇
hahhahahahaahaaSikiliza kinachozungumzwa hewani.
Media za kiswahili na kihuni kweli.
Hakuna professionalism kabisa.
Sikiliza hapo mwishoni kuanzia sekunde ya 8.👇👇
daaa no commetHahahahaaaa
Kwanini serikali inaingilia?
Kwanini huyo Yesu asiende mahakamani kufungua shitaka kama kweli ameumia?
TCRA inaumia kwa niaba ya Yesu?
Muacheni huyo Yesu aliepata hayo maumivu ndio akashitaki
mmmm hayaUpumbavu mtupu. YESU hawezi kupiganiwa na TCRA Aachwe Ajipiganie yeye mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikiliza kinachozungumzwa hewani.
Media za kiswahili na kihuni kweli.
Hakuna professionalism kabisa.
Sikiliza hapo mwishoni kuanzia sekunde ya 8.[emoji116][emoji116]
Mbona kitambo sana shilla anakanisa na kanisani kwake kuna kipindi alikuwa anagawa hadi pesaNa shillah kafungua kanisani nimemuona instagram anawaombea vijana wamenyoa viduku na mademu kwamba watakuwa mabilionea.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu ambaye hata picha yake haikuwahi kuwepo duniani ila siku moja mchora katuni akajifanya kuchora katuni yake....palichimbika wewe! Mamia ya watu wakafa...na TCRA hakwenda kushtaki kuwa kachorwa!Hahahahaaaa
Kwanini serikali inaingilia?
Kwanini huyo Yesu asiende mahakamani kufungua shitaka kama kweli ameumia?
TCRA inaumia kwa niaba ya Yesu?
Muacheni huyo Yesu aliepata hayo maumivu ndio akashitaki
[emoji23][emoji23][emoji23] hovyo kabisaSikiliza kinachozungumzwa hewani.
Media za kiswahili na kihuni kweli.
Hakuna professionalism kabisa.
Sikiliza hapo mwishoni kuanzia sekunde ya 8.[emoji116][emoji116]