captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 585
- 1,185
Wafanyakazi hawana uwezo na welediWasafi wanaongoza kwa kulimwa adhabu.
Wakati Mh. Samia anachukua nchi,Wasafi walikuwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi 7.
Ni aidha wanafanya kusudi au hawapo makini pia Watangazaji hawana vigezo, uwezo na ueledi.
Wewee😳😳😭😭.. sasa hivi dmond angekuwa kajificha nje ya nchi yeye na familia yake.. hizo studio kungekuwa na kifusi cha vumbi tu wale ndugu zangu nawakubali hawataki masihara na wanamipaka hata kama wewe wajiona mropokaji vipi.Ikiendelea hivi siku atatukanwa na Mudy ndio patachimbika si unawajua hawa ndugu zetu munkari wao ni kugusa tu.
Waislamu watasema Yesu ni wao pia, maana wanaamini ni Mtume, Neno, Nabii na Roho wa Mungu.Hiyo 2m tunagawana wakristu?
DuuuuuhSikiliza kinachozungumzwa hewani.
Media za kiswahili na kihuni kweli.
Hakuna professionalism kabisa.
Sikiliza hapo mwishoni kuanzia sekunde ya 8.👇👇
Imeandikwa kama hujui!Ila jamaa si ni nabii wa dini huyihiyo!!?
Na shillah kafungua kanisa nimemuona instagram anawaombea vijana wamenyoa viduku na mademu kwamba watakuwa mabilionea.[emoji23][emoji23][emoji23]
Waislamu hawana uvumilivu wasafi ingekuwa majivuSijakuelewa
vijana wanasema kingenukaIngekuwa upande wa pili.
Kina mzee mohamed said wangesema ni mfumo kristo ulioletwa na Nyerere.
Itakuaje Kama huyu ndiye au laa!!?..maana wale yunaowaamini wanalawiti watoto tunaowapa wasaidie na kujifunza diniImeandikwa kama hujui!
[emoji116][emoji116]
Mathayo 7
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.
18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.
21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Ndio, lakini unatakiwa ukatize mahojiano hapo hapo na kipindi kisitishwe kwa hiyo siku na waombe radhi kwa maandishi dakika hiyo hiyoSi kishazungumza mtazamaji kaona!!?
HAHAHA WAZO ZURI HILI, SEMA MIPAKA LAZIMA IWEPO.Hahahahaaaa
Kwanini serikali inaingilia?
Kwanini huyo Yesu asiende mahakamani kufungua shitaka kama kweli ameumia?
TCRA inaumia kwa niaba ya Yesu?
Muacheni huyo Yesu aliepata hayo maumivu ndio akashitaki
Ni wazi hawana wahariri waliobobea kwenye taaluma ya uandishi wa habariWasafi wanaongoza kwa kulimwa adhabu.
Wakati Mh. Samia anachukua nchi,Wasafi walikuwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi 7.
Ni aidha wanafanya kusudi au hawapo makini pia Watangazaji hawana vigezo, uwezo na ueledi.
Kamati ya Maudhui ya TCRA, leo Jumatano imeipa onyo Wasafi Televisheni, pamoja na kuitaka iombe radhi mara tatu kwa siku, kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumamosi, huku ikiiamuru ilipe faini ya Sh. 2 Mil., baada ya kukutwa na hatia katika kosa la kurusha maudhui yenye kukashifu dini ya Kikristo, baada ya mgeni wake, Nabii Daniel Shila, kudai ‘Yesu ni tapeli wa kwanza duniani’.
Source: mwanahalisi online
Ila shillah tapeli kawakusanya madogo wamenyoa viduka na wanavidread pamoja na masista duu.. eti anawaonbea wawe mabilionea🤣🤣🤣!!
Mambo ya dini waachiwe wenye dini. Hii comment huwezi isikia mtuma akikashfiwa, ni binadamu tunatoka tunatetea imani. Siku nyingine kaa kimya.Upumbavu mtupu. YESU hawezi kupiganiwa na TCRA Aachwe Ajipiganie yeye mwenyewe.