TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
1599732322832.png
 
Kwahio mfano limetokea tukio ghafla, jengo hapo town linawaka moto...., inabidi kwa haraka sana nitume barua pepe kwa TCRA halafu ningoje mrejesho kabla sijaingia mubashara kuwahabarisha watu, ila kwa bahati mbaya moto ushazimika.

Haya ni maigizo kama kampuni ina leseni na wataalamu wa tasnia husika, basi ni vema kwa hii Taasisi kuwaachia wenyewe hao wataalamu sababu wanajua nini cha kufanya kulingana na utaalamu wao.
 
Huu ndio uwendawazimu.
Uwendawazimu huu unafanywa kwa maslahi ya Magufuli na CCM.

Kwa near term watu wanafikiri ni kwa hayomakundi mawili lakini subiri uchaguzi upite ndio utajua kundi la pili ni nani. Hakuna aliyejua kuwa wale vigogo wa chama tawala baada kushinda kura za maoni wasinge pata fursa ya kushiriki uchaguzi.

Hawaamini kilicho wakuta. Yet wakati figisu zinaandaliwa walikuwa wanajua ni za kudhibiti wapinzani. Picha haijaisha, baada ya uchaguzi kuna wengine watafikiwa hawataamini pia. Lakini kwa sasa waendeleekuona haya haya wahusu.
 
Yehodaya .

Kama hali ni hivi , uchaguzi mkuu unaitishwa kwa nini ?!.
Sheria Hiyo haijatungwa Leo ni ya siku nyingi media wanaijua. TCRA wanakumbushia tu. Huo ni wajibu wa media wenyewe sio vyama ya siasa.

Media zinazojielewa walishaomba hivyo vibali siku nyingi baada ya kupewa ratiba na wahusika wataka live
 
Sheria ndivyo inavyotaka
Wanakumbushwa tu wasije jisahau wakafungiwa na kutozwa faini

Kwa hiyo kukiwa na breaking news live ukaombe kibali kwanza?

Hii mijitu huwa inaangalia habari za wenzetu huko duniani halafu inachekelea na kuponda vyombo vyetu vya habari kuwa havina uweledi. Uweledi utatokea wapi hali hii wwkati wenzetu wanripoti mpaka wakiwa uwanja wa vita live.
 
Back
Top Bottom