TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

Sheria Hiyo haijatungwa Leo ni ya siku nyingi media wanaijua.TCRA wanakumbushia tu.Huo ni wajibu wa media wenyewe sio vyama ya siasa

Media zinazojielewa walishaomba hivyo vibali siku nyingi baada ya kupewa ratiba na wahusika wataka live
Yehodaya .

U communist haututoi mrisi zaidi ya kuwakandamiza tu wananchi . Miaka mitano mnajinasibu kukubalika . Mbona uoga kupita kiasi ?!
 
Umeambiwa matukio ya ki calendar sio impromptu!!

Kampeni za uchaguzi mfano ni matukio yenye calendar kabisa ndiyo yanaongelewa au scheduled interview
Hata ikitokea ajali ya basi la mkoa au ya ndege si watasema tu hii ilikuwa na ratiba ya kusafiri tayari kwa hiyo ni tukio la calendar! Jambazi akivamia eneo utaambiwa alikuwa keshapanga kwenye calendar yake kuwa aje kuvamia hili eneo kabla yake!
 
Ajali ina ratiba? Tume imeweka wazi ni matukio yenye ratiba ajali na vifo havina ratiba lakini kampeni zina ratiba
 
Msijali Uchaguz ukipita mambo yote yatarudi kuwa mswano[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Back
Top Bottom