Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
NAPE ni boguz hajawaai fanya lolote zaidi ya Kuwa jinga jinga tu.Kawaida tu
Mtoa mada sijaona dharau zozote hapo labda wewe kwa mtazamo unaona ni dharau
Unataka kuniambia hakuna mema ambayo Nape aliyafanya?
Mnyonge mnyongeni lkn haki yake apewe
Mkuu taja matatu mazuri ya Nape bila kuzungukaNauliza kwasababu inashangaza sana hayo unayosema ,,,kwahiyo inamaa siku zote alikuwa anashinda bonanza na hakuwahi kufanya kazi ya uwaziri? Upo serious bado?
Swali langu moja tu,,je hakuwahi kufanya kazi za wizara yake?Mkuu taja matatu mazuri ya Nape bila kuzunguka
Kufanya kafanya, basi taja mawili tu mazuri ambayo aliwahi kufanya achilia mbali kufanya kazi zake za kawaidaSwali langu moja tu,,je hakuwahi kufanya kazi za wizara yake?
Sijui mnanielewa?
Unajua huenda una mqjibu yako kichwani kwahiyo unataka uyadhibitishe,,kwahiyo itakuwa ngumu kuelewanaKufanya kafanya, basi taja mawili tu mazuri ambayo aliwahi kufanya achilia mbali kufanya kazi zake za kawaida
Mkuu wa nchi hawezi kutumbua halafu mkamshukuru aliyetumbuliwa! Kutumbuliwa means you made some mistakes somewhere, na maamuzi ya Rais ni final; Rais kaona madudu halafu mnapongeza kweli aliyefanya madudu ambayo Rais kayaona? Mna macho makali kuliko Rais? Hakuna kitu kama hicho.Hiyo ni Shukrani mkuu kwa mda waliokua nae.. umequote vibaya
Utumbuzu ule wa awali...alikaribishwa jimboni kwake kw makeke nadhani....! Je. Itakuwa hivyo awamu hii?... ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya...
Bongo sihami wallah 😂😂Mkuu wa nchi hawezi kutumbua halafu mkamshukuru aliyetumbuliwa! Kutumbuliwa means you made some mistakes somewhere, na maamuzi ya Rais ni final; Rais kaona madudu halafu mnapongeza kweli aliyefanya madudu ambayo Rais kayaona? Mna macho makali kuliko Rais? Hakuna kitu kama hicho.
Wakuu vipi Vifurushi vya MB vitashuka bei au GB zitaongezeka baada ya Nape na watu wake hawa kutumbuliwa?Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF na Posta.
Pongezi kwa kazi nzuri kwa waliotenguliwa ni kama kashfa kwa Mamlaka ya Uteuzi
Aliyefanya kazi nzuri hatenguliwi, ukitenguliwa ujue kuna kitu hakiko sawa.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Maza Urais unamhenyesha, anahofia kila mtu kutoka TanganyikaHii Nchi Imepatwa Na Nini Jamani ?
tulisema Mabeans hana uwezo wa kuongoza mashirika makubwa nilidhani baada ya kushindwa kuiongoza Tanesco angeachwa lakini wami mara apelekwe TTCL huko kumbe nako ana kamhogo kake, baadae wakapongezana na hao wahuni wenzake akina Nape akapelekwa Posta, kufika tu Posta akamyaug'anya tenda ya uendeshaji wa mifumo ya IT na kuleta anayoijua yeye,pale Posta mifumo ikachezewa hata ukilipia sanduku unaambiwa hujalipa, bei za masanduku ya barua ikapanda mara mbili,sanduku la mtu binafsi likapanda kutoka TZS10,000 hadi 20,000 na makampuni kutoka 40,000 hadi 70,000/=
Kifupi huna jibu na ndiyo maana unazunguka tu. Tuishie hapa na next time acha kusema vitu ambavyo ukiambiwa ulete ushahidi unakimbia kimbia eti kuwa anayekuuliza tayari ana majibu yake. IdiotUnajua huenda una mqjibu yako kichwani kwahiyo unataka uyadhibitishe,,kwahiyo itakuwa ngumu kuelewana
Asante
LILW BUMUNDAAsante
Binafsi sikukumkubali kwa matendo yake lakini huwa sio kipofu kabisa kutoona baadhi ya mazuri yake
Kama hawa?Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF na Posta.
Pongezi kwa kazi nzuri kwa waliotenguliwa ni kama kashfa kwa Mamlaka ya Uteuzi
Aliyefanya kazi nzuri hatenguliwi, ukitenguliwa ujue kuna kitu hakiko sawa.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari