Tetesi: TCRA Wanaomiliki laini (simkadi) zaidi ya moja katika mtandao mmoja kupokonywa ifikapo June 2020

Upuuzi ..shenzi kabisa,
Wenzetu wako wanakimbia kwa kasi sisi tumebaki tunahangaika na laini za simu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kama laini moja ni ya shughuli za kibiashara kwa mawasiliano na wateja na nyingine ni kwa ajili ya mawasiliano yangu binafsi, sio modem, inakuwaje
 
Katika shirika ambalo halijui majukum yake ni TCRA baada ya kuangakia technolojia ina increase vipi wao wapo busy na SIM card
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hela gani wewe? Jitahidi mwaka huu utoke kwa shemeji yako lasivyo kijambio chako kipo hatarini.
 
Kwahiyo mtu unataka awape vimada namba yake rasmi ya simu?
 
Huo utakuwa ni uvunjwaji wa katiba....
haki ya kumiliki mali.....
sidhani kama watafanikiwa katika hili
 
Una matatizo ya akili, japo ni kazi sana kuliona hili, let say ninazo line mbili kwa sababu ya michepuko wewe kama binti unaumia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo sahihi la kufanya ni TCRA kuongeza uwezo wao wa kiteknolojia wa ku mcontrol mtu hata kama ana laini mia moja....
provided kwamba amezisajili
 
Badala ya kuumiza mibichwa yao kutafuta technology mpya wao wamekazana kugombana na line za simu kwanini majambazi na matapeli kila siku wanatapeli hatuoni cha maana akikamatwa mmoja wanavyomtangaza kana kwamba wamekamata Idd Amin! Wasituchoshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…