Pre GE2025 TCRA yailima Barua Jambo TV kwa kurusha taarifa za Tundu Lissu na Kabendera kuhusu shutuma kwa Tigo na Vodacom

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Walipashwa kusikiliza pia upande wa pili kabla ya kurusha habari husika.
Habari nzito kama hizi unazirusha kwa just hearsay , lazima kuna mfadhili wa huu mpango mkakati,aliyeleta vi Habari uchwara vya Lissu! Na unaweza kuta ni Lissu mwenyewe!!
 
Mwenyekiti wa makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Sakumzi Macozoma akiwa katika ziara ya kikazi akutana na mabosi wa Vodacom Tanzania na pia akutana na viongozi wa serikali ya Tanzania

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, Tanzania imeifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited.

Uamuzi huo wa kuifuata kesi hiyo utolewa leo Jumanne, Septemba 10, 2024 na Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Livin Lyakinana kwa niaba ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Salma Maghimbi anayesikiliza kesi hiyo, kufuatia pingamizi la awali lililowekwa na Vodacom akidai kesi hiyo ni batili na ilipaswa kufunguliwa ndani ya miaka 3 tangu kutokea kwa jambo linalolalamikiwa
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imefungua mashitaka dhidi ya Jambo Online TV, ikidai kuwa kituo hicho cha habari kimekiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu Maudhui ya Mtandaoni za mwaka 2020, zilizofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Hatua hii inatokana na matangazo ya maudhui yaliyotajwa kuwa natuhuma nzito yaliyotolewa na kituo hicho bila kuwapa nafasi wahusika kutoa ufafanuzi wao.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 9 Oktoba 2024, Mamlaka ya Mawasiliano kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, inadai kuwa tarehe 1 Oktoba 2024, Jambo Online TV inadaiwa kurusha hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu, ambayo iliibua tuhuma dhidi ya viongozi wa serikali na kampuni ya Tigo.

Hotuba hiyo, ambayo ilichapishwa mtandaoni, iliweka wazi madai mazito yaliyohusisha kampuni ya mawasiliano ya simu ya Tigo, ambapo Tundu Lissu alieleza kuwa Tigo ilihusika katika njama za kumfuatilia kabla ya kushambuliwa.

Katika hotuba yake, Lissu alinukuliwa akisema, “Tigo walikuwa wakinifuatilia sio kwa njia ya kawaida tu, bali walitumia wachunguzi wa ndani kunifanyia ufuatiliaji wa kina. Mtu mmoja aliyekuwa mfanyakazi wa Metropolitan Police ya London ndiye alikuwa mchunguzi wao wa ndani, akichunguza matendo ya wafanyakazi wa Tigo. Siku tano baada ya mimi kushambuliwa, mchunguzi huyo alisikika akisema kuwa walikuwa wanajua taarifa zangu zote, hata mahali nilipokuwa.”

TCRA imeendelea kudai kuwa, siku iliyofuata tarehe 2 Oktoba 2024, Jambo Online TV ilirusha hotuba nyingine ya Bw. Erick Kabendera, mwandishi wa habari, ambapo naye alitoa tuhuma kali dhidi ya kampuni ya mawasiliano ya Vodacom. Kabendera alidai kuwa Vodacom ilihusika na mpango wa kumteka.

Katika hotuba hiyo, Kabendera alisema: “Baada ya uchunguzi wa miaka mitatu, mimi na wanasheria wangu tumekusanya ushahidi unaoonyesha wazi kwamba kampuni ya Vodacom Tanzania ilihusika katika njama za kutaka kuniteka. Kama si hatua za haraka zilizochukuliwa na mitandao ya kijamii kufichua njama hizo, pengine ningetekwa au hata kuuawa. Ushahidi huu ni mzito na unatosha kabisa kufungua mashtaka dhidi ya Vodacom hapa Tanzania na hata tanzu zake zilizoko Afrika Kusini na Uingereza.”

Kwa mujibu wa TCRA, Jambo Online TV inatuhumiwa kwa kukiuka Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni kwa kurusha maudhui haya bila kutoa nafasi kwa kampuni husika, pamoja na viongozi wa serikali, kutoa ufafanuzi au kujitetea. TCRA imesema kuwa hatua hii si tu imekiuka maadili ya uandishi wa habari, bali pia imeharibu sifa za taasisi za umma na kampuni za kibinafsi.

Kwa mujibu wa kanuni za TCRA, kitendo cha Jambo Online TV kueneza maudhui ya namna hii kinakiuka Kanuni ya 9 (a), inayosema kuwa mtoa huduma wa maudhui mtandaoni lazima kuhakikisha maudhui yanayotangazwa ni salama na hayavunji sheria yoyote ya nchi. Aidha, kanuni za maudhui mtandaoni zinawataka watoa huduma kuhakikisha maudhui yao yanazingatia viwango vya kitaaluma vya uandishi wa habari na kuwapa wahusika fursa ya kutoa maoni yao pale wanapotuhumiwa.

Kamati ya Maudhui ya TCRA imeitisha kikao na uongozi wa Jambo Online TV tarehe 17 Oktoba 2024 katika makao makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam ili kutoa utetezi wao kwa tuhuma hizo. Katika barua hiyo, TCRA imeonya kuwa iwapo Jambo Online TV itashindwa kufika katika kikao hicho, hatua kali za kisheria na kiudhibiti zitachukuliwa dhidi yake.

“Kamati ya Maudhui inakitaka Kituo cha Jambo Online TV kuwasilisha utetezi rva maandishi na kufika mbele ya Kamati kujieleza kwa nini hatua za kisheria zisichukuliwe dhidi yake kwa kukiuka Kanuni za Maudhui Mtandaoni, 2020 kama zilivyofanyiwa Marekebisho Mwaka 2022”, imeeleza taarifa hiyo.

Chanzo: Jambo TV
Tigo badala muanze kujiandaa na kesi itakayofunguliwa huko ughaibuni mnakimbilia TCRA hapa mnapoteza muda
 
Peter Msigwa anarusha shutuma Kali dhidi ya Chadema na vyombo vya CCM, serikali na machawa vinarusha bila kuwapa Chadema nafasi ya kutoa ufafanuzi na hiyo TCRA kama Basata wako kimya.
Huu ndio mfano wazi wa undumilakuwili.
 
Sasa hapo wamekosea wapi na wakati wameuhabalisha umaa............ile si habari tu kama habari nyingine.......kama uhusiki na kesi huwezi kufungwa
TCRA Aliyefinywa mwingne analia yy. Hatjaona ppte hao VODA au TIGO wamepiga mayowe lkn TCRA wanawashwa
 
Kuna kitu waandishi wa habari wa kule popo wanakiita news balancing.Endapo watathibitisha waliita upande wa pili na hawakupewa ushirikiano watakuwa wamepona
 
Walipashwa kusikiliza pia upande wa pili kabla ya kurusha habari husika.
Wanafki tu hao, sindio kama ile ya DW ya German Tundu Lissu baada ya mahojiano wakawatafuta na upande wa Serikali ila hawakupokea simu...kwamba hawana majibu!
Hata hapo ni yale yale tuu, hili liserikali la mama linataka kusifiwa hata kwenye uwongo, kukosolewa aaah ni makosa
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imefungua mashitaka dhidi ya Jambo Online TV, ikidai kuwa kituo hicho cha habari kimekiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu Maudhui ya Mtandaoni za mwaka 2020, zilizofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Hatua hii inatokana na matangazo ya maudhui yaliyotajwa kuwa natuhuma nzito yaliyotolewa na kituo hicho bila kuwapa nafasi wahusika kutoa ufafanuzi wao.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 9 Oktoba 2024, Mamlaka ya Mawasiliano kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, inadai kuwa tarehe 1 Oktoba 2024, Jambo Online TV inadaiwa kurusha hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu, ambayo iliibua tuhuma dhidi ya viongozi wa serikali na kampuni ya Tigo.

Hotuba hiyo, ambayo ilichapishwa mtandaoni, iliweka wazi madai mazito yaliyohusisha kampuni ya mawasiliano ya simu ya Tigo, ambapo Tundu Lissu alieleza kuwa Tigo ilihusika katika njama za kumfuatilia kabla ya kushambuliwa.

Katika hotuba yake, Lissu alinukuliwa akisema, “Tigo walikuwa wakinifuatilia sio kwa njia ya kawaida tu, bali walitumia wachunguzi wa ndani kunifanyia ufuatiliaji wa kina. Mtu mmoja aliyekuwa mfanyakazi wa Metropolitan Police ya London ndiye alikuwa mchunguzi wao wa ndani, akichunguza matendo ya wafanyakazi wa Tigo. Siku tano baada ya mimi kushambuliwa, mchunguzi huyo alisikika akisema kuwa walikuwa wanajua taarifa zangu zote, hata mahali nilipokuwa.”

TCRA imeendelea kudai kuwa, siku iliyofuata tarehe 2 Oktoba 2024, Jambo Online TV ilirusha hotuba nyingine ya Bw. Erick Kabendera, mwandishi wa habari, ambapo naye alitoa tuhuma kali dhidi ya kampuni ya mawasiliano ya Vodacom. Kabendera alidai kuwa Vodacom ilihusika na mpango wa kumteka.

Katika hotuba hiyo, Kabendera alisema: “Baada ya uchunguzi wa miaka mitatu, mimi na wanasheria wangu tumekusanya ushahidi unaoonyesha wazi kwamba kampuni ya Vodacom Tanzania ilihusika katika njama za kutaka kuniteka. Kama si hatua za haraka zilizochukuliwa na mitandao ya kijamii kufichua njama hizo, pengine ningetekwa au hata kuuawa. Ushahidi huu ni mzito na unatosha kabisa kufungua mashtaka dhidi ya Vodacom hapa Tanzania na hata tanzu zake zilizoko Afrika Kusini na Uingereza.”

Kwa mujibu wa TCRA, Jambo Online TV inatuhumiwa kwa kukiuka Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni kwa kurusha maudhui haya bila kutoa nafasi kwa kampuni husika, pamoja na viongozi wa serikali, kutoa ufafanuzi au kujitetea. TCRA imesema kuwa hatua hii si tu imekiuka maadili ya uandishi wa habari, bali pia imeharibu sifa za taasisi za umma na kampuni za kibinafsi.

Kwa mujibu wa kanuni za TCRA, kitendo cha Jambo Online TV kueneza maudhui ya namna hii kinakiuka Kanuni ya 9 (a), inayosema kuwa mtoa huduma wa maudhui mtandaoni lazima kuhakikisha maudhui yanayotangazwa ni salama na hayavunji sheria yoyote ya nchi. Aidha, kanuni za maudhui mtandaoni zinawataka watoa huduma kuhakikisha maudhui yao yanazingatia viwango vya kitaaluma vya uandishi wa habari na kuwapa wahusika fursa ya kutoa maoni yao pale wanapotuhumiwa.

Kamati ya Maudhui ya TCRA imeitisha kikao na uongozi wa Jambo Online TV tarehe 17 Oktoba 2024 katika makao makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam ili kutoa utetezi wao kwa tuhuma hizo. Katika barua hiyo, TCRA imeonya kuwa iwapo Jambo Online TV itashindwa kufika katika kikao hicho, hatua kali za kisheria na kiudhibiti zitachukuliwa dhidi yake.

“Kamati ya Maudhui inakitaka Kituo cha Jambo Online TV kuwasilisha utetezi rva maandishi na kufika mbele ya Kamati kujieleza kwa nini hatua za kisheria zisichukuliwe dhidi yake kwa kukiuka Kanuni za Maudhui Mtandaoni, 2020 kama zilivyofanyiwa Marekebisho Mwaka 2022”, imeeleza taarifa hiyo.

Chanzo: Jambo TV
Kisheria tigo ndio walitakiwa kukanusha hizo taarifa, ovar wakiri msomi.
 
Walirusha hotuba ya Lissu akituhumu Tigo kumfuatilia kabla ya kupigwa risasi. Sheria ya utangazaji inasema kuwa lazima mpe nafasi ya kusikilizwa upande wa pili kabla ya kurusha tuhuma ili upande wa pili upata nafasi ya kujitetea.
Unajua sheria ya uwandishi wa habari?
 
16 September 2024

'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'​

Mwandishi wa BBC Leonard Mubali amefanya mahojiano na makamu mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kushikiliwa kwa viongozi wao kinyume cha sheria, matukio ya utekaji pa moja na uchunguzi dhidi ya tukio la kuupigwa risasi miaka saba iliyopita....

View: https://m.youtube.com/watch?v=Wyj6BKIAWAs

Toka Maktaba:
07 Sept 2017 — Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu ameripotiwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma...

Wakati huo huo, Chama tawala cha CCM, kupitia Katibu wao wa Itikadi na Uenezi,imesema kimepokea kwa mstuko mkubwa kushambuliwa kwa mbunge huyo wa upinzani.

"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinalaani tukio hilo la kikatili na lisilo na utu tunalitaka Jeshi la Polisi kuwatafuta, kufanya uchunguzi wa tukio hili na kuchukua hatua kali za kisheria kwa wote waliohusika."

Kamanda wa polisi mkoani Dodoma, Kamishna Msaidizi, Jires Mroto ameiambia BBC kuwa wameanza uchunguzi wa tukio hilo.

"Tunaomba wananchi wenye taarifa ya uhalifu huu, waweze kujitokeza" amesema Kamanda Mroto.

Hivi karibuni, mbunge huyo kutoka chama cha upinzani cha CHADEMA, amekuwa akikamatwa mara kwa mara na polisi akishutumiwa kufanya uchochezi.

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akithibitisha tukio la leo alisema, amesema "yupo hospitali, bado anajaribu kupambana kuokoa maisha yake"

Gazeti la Mwananchi nchini Tanzania, limemnukuu Mganga mkuu wa hospitali ya Dodoma akisema wakili huyo ana majeraha ya risasi miguuni na tumboni.
Source : BBC
 
Kila idara inailinda CCM.

Kuna mpango mkubwa wa kuzuia waTanzania kupata haki ya kujua ukweli na pia kutohakikishiwa usalama wao kwa kuwa vyombo husika havitaki kufanya uchunguzi na kutoa mrejesho wamefikia wapi kiuchunguzi .
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imefungua mashitaka dhidi ya Jambo Online TV, ikidai kuwa kituo hicho cha habari kimekiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu Maudhui ya Mtandaoni za mwaka 2020, zilizofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Hatua hii inatokana na matangazo ya maudhui yaliyotajwa kuwa natuhuma nzito yaliyotolewa na kituo hicho bila kuwapa nafasi wahusika kutoa ufafanuzi wao.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 9 Oktoba 2024, Mamlaka ya Mawasiliano kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, inadai kuwa tarehe 1 Oktoba 2024, Jambo Online TV inadaiwa kurusha hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu, ambayo iliibua tuhuma dhidi ya viongozi wa serikali na kampuni ya Tigo.

Hotuba hiyo, ambayo ilichapishwa mtandaoni, iliweka wazi madai mazito yaliyohusisha kampuni ya mawasiliano ya simu ya Tigo, ambapo Tundu Lissu alieleza kuwa Tigo ilihusika katika njama za kumfuatilia kabla ya kushambuliwa.

Katika hotuba yake, Lissu alinukuliwa akisema, “Tigo walikuwa wakinifuatilia sio kwa njia ya kawaida tu, bali walitumia wachunguzi wa ndani kunifanyia ufuatiliaji wa kina. Mtu mmoja aliyekuwa mfanyakazi wa Metropolitan Police ya London ndiye alikuwa mchunguzi wao wa ndani, akichunguza matendo ya wafanyakazi wa Tigo. Siku tano baada ya mimi kushambuliwa, mchunguzi huyo alisikika akisema kuwa walikuwa wanajua taarifa zangu zote, hata mahali nilipokuwa.”

TCRA imeendelea kudai kuwa, siku iliyofuata tarehe 2 Oktoba 2024, Jambo Online TV ilirusha hotuba nyingine ya Bw. Erick Kabendera, mwandishi wa habari, ambapo naye alitoa tuhuma kali dhidi ya kampuni ya mawasiliano ya Vodacom. Kabendera alidai kuwa Vodacom ilihusika na mpango wa kumteka.

Katika hotuba hiyo, Kabendera alisema: “Baada ya uchunguzi wa miaka mitatu, mimi na wanasheria wangu tumekusanya ushahidi unaoonyesha wazi kwamba kampuni ya Vodacom Tanzania ilihusika katika njama za kutaka kuniteka. Kama si hatua za haraka zilizochukuliwa na mitandao ya kijamii kufichua njama hizo, pengine ningetekwa au hata kuuawa. Ushahidi huu ni mzito na unatosha kabisa kufungua mashtaka dhidi ya Vodacom hapa Tanzania na hata tanzu zake zilizoko Afrika Kusini na Uingereza.”

Kwa mujibu wa TCRA, Jambo Online TV inatuhumiwa kwa kukiuka Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni kwa kurusha maudhui haya bila kutoa nafasi kwa kampuni husika, pamoja na viongozi wa serikali, kutoa ufafanuzi au kujitetea. TCRA imesema kuwa hatua hii si tu imekiuka maadili ya uandishi wa habari, bali pia imeharibu sifa za taasisi za umma na kampuni za kibinafsi.

Kwa mujibu wa kanuni za TCRA, kitendo cha Jambo Online TV kueneza maudhui ya namna hii kinakiuka Kanuni ya 9 (a), inayosema kuwa mtoa huduma wa maudhui mtandaoni lazima kuhakikisha maudhui yanayotangazwa ni salama na hayavunji sheria yoyote ya nchi. Aidha, kanuni za maudhui mtandaoni zinawataka watoa huduma kuhakikisha maudhui yao yanazingatia viwango vya kitaaluma vya uandishi wa habari na kuwapa wahusika fursa ya kutoa maoni yao pale wanapotuhumiwa.

Kamati ya Maudhui ya TCRA imeitisha kikao na uongozi wa Jambo Online TV tarehe 17 Oktoba 2024 katika makao makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam ili kutoa utetezi wao kwa tuhuma hizo. Katika barua hiyo, TCRA imeonya kuwa iwapo Jambo Online TV itashindwa kufika katika kikao hicho, hatua kali za kisheria na kiudhibiti zitachukuliwa dhidi yake.

“Kamati ya Maudhui inakitaka Kituo cha Jambo Online TV kuwasilisha utetezi rva maandishi na kufika mbele ya Kamati kujieleza kwa nini hatua za kisheria zisichukuliwe dhidi yake kwa kukiuka Kanuni za Maudhui Mtandaoni, 2020 kama zilivyofanyiwa Marekebisho Mwaka 2022”, imeeleza taarifa hiyo.

Chanzo: Jambo TV
Rushwa ya nguvu inatembea muda huu!
 
Dunia ya werevu, wananchi ndani ya nchi na wadau wa kimataifa wanaviangalia vituko vyote vinavyoendelea kufanywa na watawala pamoja na vyombo vyake.

Waliopewa dhamana vya utawala bora wanatakiwa wastuke na kutambua wanaangaliwa kwa ukaribu njama zao zote toka awama 5 hadi ya sasa awamu ya 6.

Vitendo vyao hivyo vitaendelea kuwasumbua bila kukoma ikiwa hawatazungatia utawala bora wenye kuzingatia haki, sheria na utu wa mtu.

TUHUMA ZA TCRA ZINAKUMBUSHA RIWAYA YA THE TRIAL

riwaya ya The Trial iliyoandikwa na Franz Kafka ikachapishwa mara ya kwanza mwaka 1925, mtuhumiwa Josef K. ni mfanyakazi wa Bank akituhumiwa kwa kosa la jinai, lakini wanaomtuhumu hawamwambii kwa uhalisia aina la kosa lake, wanasheria wa serikali wanajifanya hamnazo wakiendesha mashtaka huku mtuhumiwa anakumbana na mfumo wa haki jinai ulivyosukwa ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=DLp_AdCinxI
The Trial is a novel written by Franz Kafka but not published until 1925 after the author's death. In the novel, Josef K. is a bank worker accused of a crime, but he is never told the nature of his crime and must navigate a seemingly impossible legal system to save himself.

Short story: In the Penal Colony:
Justice is one of the oldest philosophical virtues and topics. It was singled out by Plato as one of the highest questions philosophers could ask. But what about when the psychology of justice gets perverted. What about when we commit horrific and cruel acts all in the name of justice. Well that is just what Kafka explores in his landmark short story: In the Penal Colony.

View: https://m.youtube.com/watch?v=OXvjWtz3j_E
 
Kuna mpango mkubwa wa kuzuia waTanzania kupata haki ya kujua ukweli na pia kutohakikishiwa usalama wao kwa kuwa vyombo husika havitaki kufanya uchunguzi na kutoa mrejesho wamefikia wapi kiuchunguzi .
Watafeli hao matawi ya CCM kama BASATA, TCRA.

Dunia sasa kiganjani.

Habari nisipoiona Jambo basi naipata Bloomberg.

Yaani unafungia Jambo TV kwa kuchapisha habari ya kampuni kugawa taarifa za Lissu wakati ni habari iko katika media za ulimwengu wa kwanza?

Hivi huko TCRA wanashindwa kufanya hata analysis kuhusu trends za habari?
 
Hii kitu ipo kes habari huwa tuhuma nimenoti sana, hata msomaji unakuwa unategemea utetezi n.k.

Lazima inaandikwa kama aliyetuhumiwa alipatikana akajibu/hakujibu au hakupatikana na njia ipi ilitumika kumpata... Akikataa kuongea inasemwa.

Hili ni kweli wamechemka wenyewe. Hata hizo kampuni kulalamika ni sawa tu kama hawakupewa muda kusema lolote. Hata humu watu walidakia kuzidi kuharibu.. Ni biashara hizo.. sio hewa

Ushabiki wa ziada pembeni, ujuzi wa kazi Tanzania ni hafifu. Hawa nao ni hivyo hivyo tu.. Hawana kisimati.. Wao media 💵 hawajui kazi sasa wanalo..ifunze wengine pia afanye kazi kiustadi sio blah blah blah inaharibu mengi
 
Serikali inatumia kile RC wa Dar es Salaam, nguvu ya dola kutisha.

1728608663932.jpeg

Wanatisha ktk haki ya kupata habari, information is power. Wanatisha watu wasiandamane. Watatisha katika chaguzi 2024 2025. Watatisha raia wasijadili chochote bila kuratibiwa na sheria mbovu walizotunga ...

Mlolongo wa sababu zinazotumika kutisha raia ni mrefu wa serikali kutisha raia
 
Back
Top Bottom