TCRA yaipiga faini ya Tsh. bilioni 11.89 Kampuni ya Intaneti ya Raha Limited kwa kuendesha shughuli zake bila kuwa na kibali

Na wewe kwa akili yako kosa la miezi mitano faini yake ni bilioni 11? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Siwatangaze tu wameifilisi hiyo kampuni?
Bwashee hiyo kampun Ina thaman ya kias gan?
 
Sasa unataka kujilinganisha nao? Wacha wazimu.
 
Serikali inafanya biashara hiyo hiyo ya "internet" halafu yenyewe hiyo hiyo inasimamia sekta hiyo hiyo ya biashara kama refa!

Unategemea level playing field?Itokee wapi?

Government is a flawed system causing all these miseries to innocent hardworking peoples!

Polticians are evil people kabisa!
 
Ndio ma GT wa JF hao mkuu kila kitu kwao ni upuuzi.
 
Ndio ma GT wa JF hao mkuu kila kitu kwao ni upuuzi.
Sielewi utawala wa sheria wanao udai sijui sheria zipi?
Freedom of speech
Domokrasi
Kutekwa
BASIIII
Sheia zingine zikafie mbele
Bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…