TCRA yaipiga faini ya Tsh. bilioni 11.89 Kampuni ya Intaneti ya Raha Limited kwa kuendesha shughuli zake bila kuwa na kibali

TCRA yaipiga faini ya Tsh. bilioni 11.89 Kampuni ya Intaneti ya Raha Limited kwa kuendesha shughuli zake bila kuwa na kibali

UPUUZI MTUPU! Kampuni thamani yake haifiki hata bilioni moja halafu faini yake ni bilioni 11? 😳😳😳😳
hiyo ni kampuni ya zamani Sana kwenye huduma za internet nadhani hata kabla ya makampuni ya simu kuanza kutoa huduma za internet, wametengeneza Maela mengi Sana kwa upande huo, makampuni Kama raha.com, red dot umaarufu wake umepotea baada ya makampuni ya simu kujikita kwenye internet na watu wengi kuona hao ndio producers pekee wa huduma hiyo.
 
Acha uongo! Wakati wa corona ndiyo Kampuni zinazotoa huduma za mawasiliano wamepata faida zaidi na zaidi kwa kuwa bandwith zimetumika zaidi kwa sababu kampuni nyingi zilikuwa zinafanya kazi toka home! Sawa na Pharmacy. Kama hujui nyamaza.
siongei theories na situamii wishful thinking. I have first hand information about what is going on. unakaa hapo na kufikiria mambo yanayotokea marekani na ulaya unadhani ndio yalivyo na Tanzania.
 
Tisiaraei bwana kampuni yenye thamani ya faini hiyo haijawepo Tanzania bado.
Unawajua raha liquid? Wanawauzia internet hadi makampuni ya simu..ukite mb ulizonazo toka kampuni yako ya simu wao ndio waliwauzia. Ni giant company!
Hapa ajenda kubwa ni kuinufaisha ttcl..🤔🤔
 
.ni vita tu dhidi ya makampuni yanayo toa huduma za internet.
 
Back
Top Bottom