wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Medani nzuri vitani ni pamoja pale unapombana adui basi ni busara unamwachia kaupenyo ka kutokea ili kupunguza maafa ya vita ya ana kwa ana
Art of war.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Medani nzuri vitani ni pamoja pale unapombana adui basi ni busara unamwachia kaupenyo ka kutokea ili kupunguza maafa ya vita ya ana kwa ana
Watakamata mitambo
hiyo ni kampuni ya zamani Sana kwenye huduma za internet nadhani hata kabla ya makampuni ya simu kuanza kutoa huduma za internet, wametengeneza Maela mengi Sana kwa upande huo, makampuni Kama raha.com, red dot umaarufu wake umepotea baada ya makampuni ya simu kujikita kwenye internet na watu wengi kuona hao ndio producers pekee wa huduma hiyo.UPUUZI MTUPU! Kampuni thamani yake haifiki hata bilioni moja halafu faini yake ni bilioni 11? 😳😳😳😳
Nchi hii kwa sasa upumbavu na kuua shughuli za kiuchumi, imekuwa sifa!!!UPUUZI MTUPU! Kampuni thamani yake haifiki hata bilioni moja halafu faini yake ni bilioni 11? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nchi hii kwa sasa upumbavu na kuua shughuli za kiuchumi, imekuwa sifa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
siongei theories na situamii wishful thinking. I have first hand information about what is going on. unakaa hapo na kufikiria mambo yanayotokea marekani na ulaya unadhani ndio yalivyo na Tanzania.Acha uongo! Wakati wa corona ndiyo Kampuni zinazotoa huduma za mawasiliano wamepata faida zaidi na zaidi kwa kuwa bandwith zimetumika zaidi kwa sababu kampuni nyingi zilikuwa zinafanya kazi toka home! Sawa na Pharmacy. Kama hujui nyamaza.
Aisee sasaivi mambo ni balaa . usikute hata hii account yangu ya JF natakiwa niikatie kibali
Mbona siioni hiyo faini ya shilingi billion 11?
Twende simbanet au catsnet.Hao ndio "Raha Liquid Telecom" hapa nianze tu tafuta.
pakuhamia maana najua hasira zote zitaletwa kwetu wateja.
Unawajua raha liquid? Wanawauzia internet hadi makampuni ya simu..ukite mb ulizonazo toka kampuni yako ya simu wao ndio waliwauzia. Ni giant company!Tisiaraei bwana kampuni yenye thamani ya faini hiyo haijawepo Tanzania bado.
Ile kampuni Ina hela sanaUnawajua raha liquid? Wanawauzia internet hadi makampuni ya simu..ukite mb ulizonazo toka kampuni yako ya simu wao ndio waliwauzia. Ni giant company!
Hapa ajenda kubwa ni kuinufaisha ttcl..[emoji848][emoji848]