TCRA yaipiga faini ya Tsh. bilioni 11.89 Kampuni ya Intaneti ya Raha Limited kwa kuendesha shughuli zake bila kuwa na kibali

TCRA yaipiga faini ya Tsh. bilioni 11.89 Kampuni ya Intaneti ya Raha Limited kwa kuendesha shughuli zake bila kuwa na kibali

UPUUZI MTUPU! Kampuni thamani yake haifiki hata bilioni moja halafu faini yake ni bilioni 11? 😳😳😳😳
Swali ni kwann ulifanya kazi bila kibali ndoshida inaanzia hapo, yaani utajitetea vipi kwamfano aiseee? Tena hiyo ndgo ukiangalia na formula zake kwa usahihi unaweza kukuta unatakiwa kulipa T na sio B
 
Na wewe kwa akili yako kosa la miezi mitano faini yake ni bilioni 11? 😳😳😳😳
Siwatangaze tu wameifilisi hiyo kampuni?

swali ni kwann ulifanya kazi bila kibali ndoshida inaanzia hapo...yaani utajitetea vipi kwamfano aiseee???tena hiyo ndgo ukiangalia na formula zake kwa usahihi unaweza kukuta unatakiwa kulipa T na sio B
 
hahahahaha yale ninayoyapenda zaidi ambayo ni kweli tupu nikiyaandika nitaishia kupigwa BAN kuhusu yesu wa lugola.

Napenda ulivyoiandika yesu fake hahahhh y in lower case
 
Back
Top Bottom