TCRA yaipiga faini ya Tsh. Milioni 2 Zama Mpya TV (Dar Mpya), Maudhui ya Afande Sele kuhusu Tozo yatajwa

TCRA yaipiga faini ya Tsh. Milioni 2 Zama Mpya TV (Dar Mpya), Maudhui ya Afande Sele kuhusu Tozo yatajwa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari.

Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya uchochezi kuhusiana na Tozo mpya za kielektroniki zilizotangazwa na Serikali hivi karibuni kuanza kutozwa kwa njia ya benki.

Aidha ZamaMpya TV itakuwa chini ya uangalizi kwa kipindi cha miezi mitatu huku pia wakitoa onyo kwa kituo hicho na kuwataka kuzingatia maadili ya uandishi wa habari na kuwa watawajibika kwa kila maudhui yatakayochapishwa kinyume na taratibu.

1662722224115.png
 
View attachment 2351325
Kamati ya Maudhui ya TCRA imeiamuru ZamaMpya TV Online zamani (Dar Mpya) kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) baada ya kuchapisha maoni ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhimiwa kuwa ya Uchochezi kuhusiana na Tozo zilizotangazwa na serikali hivi karibuni
Walipaswa kupost hivi
 
Now this is getting ridiculous....

Huyu mama angalau angeweza kujisifia kwa kutoa uhuru wa watu kujieleza / kuongea..., sasa bila hivyo kwakweli ni kama kuwa na Mti wa ua rose bila maua bali miiba pekee...

In my humble opinion she is getting worse by the day....
 
Now this is getting ridiculous....

Huyu mama angalau angeweza kujisifia kwa kutoa uhuru wa watu kujieleza / kuongea..., sasa bila hivyo kwakweli ni kama kuwa na Mti wa ua rose bila maua bali miiba pekee...
Viongozi wa kiafrika hawapendagi kukosolewaga,
Tatizo na nyie mkikosoa na mkosoa na matusi kejeli juu [emoji1]

Ova
 
Alafu akija akawasamehe utaona watu wayakavyomsifia..., ila kumbe message sent kwamba ukimsema vibaya unaparuriwa wakati wenzako wanapapaswa...

Yaani hii nchi ishakuwa kama Telenovella
 
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari.

Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya uchochezi kuhusiana na Tozo mpya za kielektroniki zilizotangazwa na Serikali hivi karibuni kuanza kutozwa kwa njia ya benki.

Aidha ZamaMpya TV itakuwa chini ya uangalizi kwa kipindi cha miezi mitatu huku pia wakitoa onyo kwa kituo hicho na kuwataka kuzingatia maadili ya uandishi wa habari na kuwa watawajibika kwa kila maudhui yatakayochapishwa kinyume na taratibu.

View attachment 2351342
Wanaingilia haki ya kikatiba ya kujieleza.
 
Alafu utasikia eti kuna uhuru wa kutoa maoni btw hayo maoni ya Afande Sele Yana shida gani mbona ni ya kawaida tu, kwahiyo yyte anayepingana na mawazo ya ccm apigwe burn?
 
Nchi ngumu Sana....any way afande sele anajiamin na nnakuamin...hv ilikuwaje akapigwa chini kisiasa ..any way labda wapiogopa bange
 
Kwaio watakuja kufanya kampeni au watapiga bao la mkono waendelee kukaa madarakani ?
 
Back
Top Bottom