Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari.
Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya uchochezi kuhusiana na Tozo mpya za kielektroniki zilizotangazwa na Serikali hivi karibuni kuanza kutozwa kwa njia ya benki.
Aidha ZamaMpya TV itakuwa chini ya uangalizi kwa kipindi cha miezi mitatu huku pia wakitoa onyo kwa kituo hicho na kuwataka kuzingatia maadili ya uandishi wa habari na kuwa watawajibika kwa kila maudhui yatakayochapishwa kinyume na taratibu.
View attachment 2351325
Kamati ya Maudhui ya TCRA imeiamuru ZamaMpya TV Online zamani (Dar Mpya) kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) baada ya kuchapisha maoni ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhimiwa kuwa ya Uchochezi kuhusiana na Tozo zilizotangazwa na serikali hivi karibuni
Huyu mama angalau angeweza kujisifia kwa kutoa uhuru wa watu kujieleza / kuongea..., sasa bila hivyo kwakweli ni kama kuwa na Mti wa ua rose bila maua bali miiba pekee...
In my humble opinion she is getting worse by the day....
Huyu mama angalau angeweza kujisifia kwa kutoa uhuru wa watu kujieleza / kuongea..., sasa bila hivyo kwakweli ni kama kuwa na Mti wa ua rose bila maua bali miiba pekee...
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari.
Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya uchochezi kuhusiana na Tozo mpya za kielektroniki zilizotangazwa na Serikali hivi karibuni kuanza kutozwa kwa njia ya benki.
Aidha ZamaMpya TV itakuwa chini ya uangalizi kwa kipindi cha miezi mitatu huku pia wakitoa onyo kwa kituo hicho na kuwataka kuzingatia maadili ya uandishi wa habari na kuwa watawajibika kwa kila maudhui yatakayochapishwa kinyume na taratibu.
Alafu utasikia eti kuna uhuru wa kutoa maoni btw hayo maoni ya Afande Sele Yana shida gani mbona ni ya kawaida tu, kwahiyo yyte anayepingana na mawazo ya ccm apigwe burn?