Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni huyo mbweha kuwa nipo hapa siku 3 then nitaondoka.
yani hapo Yesu anawaambia watu wamwambie mtawala. Anamuita rais au mfalme mbweha .
kama mfalme aliitwa mbweha huyu mama tumuite jina la mnyama gani?
Ndio yetu hayaMamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano
TCRA ikimnukuu Askofu Josephat Mwingira imesema maneno yake kwamba "Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu" yanafedhesha kutokana na Lugha isiyo na staha kwa Mamlaka ya juu ya Nchi
Kipindi cha EFATHA kimesimamishwa kwa miezi mitatu, huku Star Tv ikipewa onyo na kuamriwa kuomba radhi watazamaji na umma kwa siku tatu mfululizo kuanzia Januari 25 - 27, 2022
Pia soma: Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali
Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira
"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi." "...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene. "....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile...www.jamiiforums.com
View attachment 2093801Polisi Dar yampa saa 24 Nabii Mwingira ili ajisalimishe kwa Mahojiano
Hii ni Taarifa iliyotolewa na Jumanne Murilo ambaye ni Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam . Kamanda ameagiza Polisi kumtafuta popote alipo na kumleta kanda maalum kwa mahojiano , kwa tafsiri ya kiswahili tangazo hili la Kamanda ni AGIZO LA KUMKAMATA Askofu Mwingira . ==== JESHI LA...www.jamiiforums.com
Ndio alisema hivyo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]'Shetani mzima mzima yuko Ikulu'
Mtume na nabii, Josephat Mwingira
Hivi kwanini ukweli unapigwa vita hivi?TCRA ikimnukuu Askofu Josephat Mwingira imesema maneno yake kwamba "Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu" yanafedhesha kutokana na Lugha isiyo na staha kwa Mamlaka ya juu ya Nchi
Na upumbavu wenyewe ndio huu walioufamya TCRA sasa"Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu"
Kuna watu hua wanajifanya kuujua ukristo kuliko yesu, kama yesu aliiwaita watawala mbweha iweje leo wajiitao 'wachungaji, manabii,mitume na maaskofu wanapata ukakasi kuukosoa utawala unapokengeuka?'.Mwambieni huyo mbweha kuwa nipo hapa siku 3 then nitaondoka.
yani hapo Yesu anawaambia watu wamwambie mtawala. Anamuita rais au mfalme mbweha .
kama mfalme aliitwa mbweha huyu mama tumuite jina la mnyama gani?
Hebu onyesha tusi hilondiyo maana watu kama hawa huwaga wanapotea tu na wapotee tu maana hawana maana kuendelea kuwepo anaacha kuhubiri anaanza mapambano na serikali ngoja ushauri wa kagame utumike muone sasa mtakuwa mnaongelea wapi ujinga wenu huo kweli mamlaka mnayaona kama shangazi zenu?huyo siyo mtumishi maana hata vitabu vinasema tutii mamlaka yeye anatukana mamlaka senzi sana huyo jamaa
Ukienda kinyume na CCM nchi hii survival yako ni tia maji tia maji unless uwe na roho ya paka !! CCM ni kakikundi ka watu mafia sana kiasi kwamba wamefikia hata wao kwa wao wanageukana, na ukigeukwa huna la kufanya zaidi ya kupiga magoti na kuomba msahama hadharani - yaliyomkuta mheshimwa jobo ni mfano tosha !!Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano
TCRA ikimnukuu Askofu Josephat Mwingira imesema maneno yake kwamba "Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu" yanafedhesha kutokana na Lugha isiyo na staha kwa Mamlaka ya juu ya Nchi
Kipindi cha EFATHA kimesimamishwa kwa miezi mitatu, huku Star Tv ikipewa onyo na kuamriwa kuomba radhi watazamaji na umma kwa siku tatu mfululizo kuanzia Januari 25 - 27, 2022
Pia soma: Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali
SI
Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira
"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi." "...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene. "....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile...www.jamiiforums.com
View attachment 2093801Polisi Dar yampa saa 24 Nabii Mwingira ili ajisalimishe kwa Mahojiano
Hii ni Taarifa iliyotolewa na Jumanne Murilo ambaye ni Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam . Kamanda ameagiza Polisi kumtafuta popote alipo na kumleta kanda maalum kwa mahojiano , kwa tafsiri ya kiswahili tangazo hili la Kamanda ni AGIZO LA KUMKAMATA Askofu Mwingira . ==== JESHI LA...www.jamiiforums.com
None senseUpumbavu ndio ukakasi kwa uongozi ama mamlaka?
Angetaka kwa kingereza kwamba stupidity TCRA wangeshangilia sana.
Sawa, ngoja tusubiri.
Chui jike!Mwambieni huyo mbweha kuwa nipo hapa siku 3 then nitaondoka.
yani hapo Yesu anawaambia watu wamwambie mtawala. Anamuita rais au mfalme mbweha .
kama mfalme aliitwa mbweha huyu mama tumuite jina la mnyama gani?
....kuomba radhi watazamaji na Umma.Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano
TCRA ikimnukuu Askofu Josephat Mwingira imesema maneno yake kwamba "Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu" yanafedhesha kutokana na Lugha isiyo na staha kwa Mamlaka ya juu ya Nchi
Kipindi cha EFATHA kimesimamishwa kwa miezi mitatu, huku Star Tv ikipewa onyo na kuamriwa kuomba radhi watazamaji na umma kwa siku tatu mfululizo kuanzia Januari 25 - 27, 2022
Pia soma: Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali
Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira
"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi." "...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene. "....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile...www.jamiiforums.com
View attachment 2093801Polisi Dar yampa saa 24 Nabii Mwingira ili ajisalimishe kwa Mahojiano
Hii ni Taarifa iliyotolewa na Jumanne Murilo ambaye ni Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam . Kamanda ameagiza Polisi kumtafuta popote alipo na kumleta kanda maalum kwa mahojiano , kwa tafsiri ya kiswahili tangazo hili la Kamanda ni AGIZO LA KUMKAMATA Askofu Mwingira . ==== JESHI LA...www.jamiiforums.com
Hivi chui jike anaelewa outcome ya kila jambo analolifanya? 🤣 🤣 Napata tabu sana kuelewa uwezo wa washauri wake wa karibu kwa haya yanayoendelea