TCRA yasimamisha kipindi cha EFATHA cha Nabii Josephat Elias Mwingira kwa miezi mitatu, Star TV yapewa onyo

Mwambieni huyo mbweha kuwa nipo hapa siku 3 then nitaondoka.
yani hapo Yesu anawaambia watu wamwambie mtawala. Anamuita rais au mfalme mbweha .
kama mfalme aliitwa mbweha huyu mama tumuite jina la mnyama gani?
 
FB_IMG_1643015970958.jpg
 
Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano

TCRA ikimnukuu Askofu Josephat Mwingira imesema maneno yake kwamba "Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu" yanafedhesha kutokana na Lugha isiyo na staha kwa Mamlaka ya juu ya Nchi

Kipindi cha EFATHA kimesimamishwa kwa miezi mitatu, huku Star Tv ikipewa onyo na kuamriwa kuomba radhi watazamaji na umma kwa siku tatu mfululizo kuanzia Januari 25 - 27, 2022

Pia soma: Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

View attachment 2093801
Ndio yetu haya
 
Hivi kwanini ukweli unapigwa vita hivi?
Binadamu tujitahidi kupokea ukweli ili uweze kujirekebisha!
Siku zote mnapenda kusifiwa tu hata kama mnafanya upuuzi!
 
Hawa TCRA inaonesha uwezo wao wa kung'amua mambo ni mdogo sana.Hawaoni kuwa tozo,kufukuza machinga na kuporomoka kwa uchumi ni upumbavu unaofanywa na serikali?ifike mahali taasisi za serikali ziajili watu wenye uwezo na sio hawa wa kusifusifu hata kwenye upumbavu na upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndiyo maana watu kama hawa huwaga wanapotea tu na wapotee tu maana hawana maana kuendelea kuwepo anaacha kuhubiri anaanza mapambano na serikali ngoja ushauri wa kagame utumike muone sasa mtakuwa mnaongelea wapi ujinga wenu huo kweli mamlaka mnayaona kama shangazi zenu?huyo siyo mtumishi maana hata vitabu vinasema tutii mamlaka yeye anatukana mamlaka senzi sana huyo jamaa
 
Mwambieni huyo mbweha kuwa nipo hapa siku 3 then nitaondoka.
yani hapo Yesu anawaambia watu wamwambie mtawala. Anamuita rais au mfalme mbweha .
kama mfalme aliitwa mbweha huyu mama tumuite jina la mnyama gani?
Kuna watu hua wanajifanya kuujua ukristo kuliko yesu, kama yesu aliiwaita watawala mbweha iweje leo wajiitao 'wachungaji, manabii,mitume na maaskofu wanapata ukakasi kuukosoa utawala unapokengeuka?'.
 
ndiyo maana watu kama hawa huwaga wanapotea tu na wapotee tu maana hawana maana kuendelea kuwepo anaacha kuhubiri anaanza mapambano na serikali ngoja ushauri wa kagame utumike muone sasa mtakuwa mnaongelea wapi ujinga wenu huo kweli mamlaka mnayaona kama shangazi zenu?huyo siyo mtumishi maana hata vitabu vinasema tutii mamlaka yeye anatukana mamlaka senzi sana huyo jamaa
Hebu onyesha tusi hilo
 
Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano

TCRA ikimnukuu Askofu Josephat Mwingira imesema maneno yake kwamba "Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu" yanafedhesha kutokana na Lugha isiyo na staha kwa Mamlaka ya juu ya Nchi

Kipindi cha EFATHA kimesimamishwa kwa miezi mitatu, huku Star Tv ikipewa onyo na kuamriwa kuomba radhi watazamaji na umma kwa siku tatu mfululizo kuanzia Januari 25 - 27, 2022

Pia soma: Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali
SI

View attachment 2093801
Ukienda kinyume na CCM nchi hii survival yako ni tia maji tia maji unless uwe na roho ya paka !! CCM ni kakikundi ka watu mafia sana kiasi kwamba wamefikia hata wao kwa wao wanageukana, na ukigeukwa huna la kufanya zaidi ya kupiga magoti na kuomba msahama hadharani - yaliyomkuta mheshimwa jobo ni mfano tosha !!
 
Sasa hawa wanataka STAR tv ife kwa njaa mzee diallo hama CCM wanakuhujumu media za sahara n kama sasa znaelekea mwsho wa dahari
 
Mwambieni huyo mbweha kuwa nipo hapa siku 3 then nitaondoka.
yani hapo Yesu anawaambia watu wamwambie mtawala. Anamuita rais au mfalme mbweha .
kama mfalme aliitwa mbweha huyu mama tumuite jina la mnyama gani?
Chui jike!
 
Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano

TCRA ikimnukuu Askofu Josephat Mwingira imesema maneno yake kwamba "Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu" yanafedhesha kutokana na Lugha isiyo na staha kwa Mamlaka ya juu ya Nchi

Kipindi cha EFATHA kimesimamishwa kwa miezi mitatu, huku Star Tv ikipewa onyo na kuamriwa kuomba radhi watazamaji na umma kwa siku tatu mfululizo kuanzia Januari 25 - 27, 2022

Pia soma: Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

View attachment 2093801
....kuomba radhi watazamaji na Umma.
Mimi sijakosewa hivyo Star TV msijihangaishe kuniomba radhi.
 
Hana wasiwasi maana kila kitu kipo chini yake kuanzia bunge,mahakama,poliscm,yupo juu ya katiba pia,tume ya uchaguzi n.k
Hivi chui jike anaelewa outcome ya kila jambo analolifanya? 🤣 🤣 Napata tabu sana kuelewa uwezo wa washauri wake wa karibu kwa haya yanayoendelea
 
Back
Top Bottom