TCRA yasomesha watatu kwa Sh 2.2 bilioni

TCRA yasomesha watatu kwa Sh 2.2 bilioni

All the regulatory authorities in Tanzania are fraud rotten. Start with Ewura, Sumatra, TCRA, PPRA, SSRA Ukiambiwa mshahara wa ceo unajiuliza nini vyanzo vya mapato unarudi palepale kodi yetu. Agr
 
Hivi tutaendelea kukaguana hadi lini? Najua ukaguzi unafanyika kila wakati, na report zinatolewa namna ambavyo fedha za walipa kodi zinavyotumika! 70% au zaidi hazitumiki kama ilivyopangwa na bado hatuoni wala kusikia watu wakinyongwa wala magereza kujaa wahujumu uchumi wa nchi.

Why? Because wazee wetu bado wanaendesha serikali kwa kishikaji mno tena kwa style ya karne ya 19 na 20. Stop looking into the eyes of the thieves, wakaangeni kurudisha morali na mapenzi/uzalendo wa wananchi kwa nchi yao.
 
Kwenye RED:
Kama tunakubaliana na majibu hayo watanzania nis shuruti pia tukubaliane na ndugu zetu wa MOI Muhimbili waliopasua kichwa badala ya goti.
Wao pia ni binadamu. Hawana viungo vya ziada kuwazidi wahasibu wa TCRA
Why double standards!

They have to step down, siyo kwa sababu au kwa ushawishi wa kisiasa its for their failure to work under their professional conducts. Professional people should be the one to provide answers without political influence, ningekuwa mimi I would have stepped down muda mrefu kwa aibu kama hiyo. Ndiyo maana tunapiga kelele kubadili serikali iliyolewa madaraka ili kuweza kubadili mfumo wifi uliosambaa nchi nzima.
 
hao wajumbe wa bodi pia ni mafisadi waunganishwe kwenye ile orodha.mwenye majina yao atuwekee hapa tuwajue vizuri unaweza kupatwa na mshangao ukiwajua
 
hao wajumbe wa bodi pia ni mafisadi waunganishwe kwenye ile orodha.mwenye majina yao atuwekee hapa tuwajue vizuri unaweza kupatwa na mshangao ukiwajua

Kweli Wekeni majina yao tuyaone!
 
2.2bil ni sawa na kusomesha wanafunzi 220 in Telecom engineering Nchi nzima katika vyuo vya ndani na kuwalipia kila kitu kwa miaka minne, kila moja wastani 10Mil, hawa jamaa waache mchezo.
 
Bodi ya mikopo imefulia kwelikweli, serikali na taasisi zake imefulia.
 
jaji chipeta alisema"hakuna ubadhirifu katika mamlaka kilichojitokeza mbele ya kamati hiyo ni makosa ya kibinadamu katika utayarishaji wa hesabu zilizowakilishwa" ok kama ni kweli nani aliyewakilisha uongo ? Je inawezekanaje taarifa ifike mpaka kwenye kamati ya bunge bila management kuiona? haiingi akilini.Bodi lazima ikwanyuliwe na wahusika wawajibishwe tumechoka na ubadhirifu
 
hao wajumbe wa bodi pia ni mafisadi waunganishwe kwenye ile orodha.mwenye majina yao atuwekee hapa tuwajue vizuri unaweza kupatwa na mshangao ukiwajua

Board members of TCRA

1. Judge Buxton Chipeta - Chairman

2. Dr. Vuai Iddi Lila - Vice Chairman

3. Prof. John S. Nkoma - Director General

4. Eng. Baruany E. Luhanga - Member

5. Dr. Justinian Anatory - Member

Source: www.tcra.go.tz/about/board_members.php
 
Hata kama ni makosa ya kibanadamu huo sio ubindamu kabisa!! Just too much!!
 
Mimi ningekuwa mhasibu wa TCRA ningeachia ngazi haraka iwezekanavyo.....haiwezekani mhasibu akashindwa kukusanya data sahihi za watumishi watatu waliopelekwa shule kwa mwaka.Hapo ni kujumlisha tu.....!
 
Kwenye RED:

Huyu mzee alikuwa Jugde wa mahakama jee kawafunga watu wangapi kwa makosa ya kibinadam na aliwaachia wangapi kwa makosa ya kibinaadam
This is too low kwa mwanasheria aliyejubuhu kama yeye
 
Kusomesha wafanyakazi watatu kwa mwaka kwa sh 2.2bn ni "makosa ya ki-uhasibu"! Kweli Mi-Afrika ndivyo tulivyo!

Only found in TZ na cha ajabu hawasemi ni kozi ipi na ya kiwango kipi Bsc, MSc, Phd au professional course......???

THIS COUINTRY IS RUNNING ON IT'S OWN BULLSHIT
 
Only found in TZ na cha ajabu hawasemi ni kozi ipi na ya kiwango kipi Bsc, MSc, Phd au professional course......???

THIS COUINTRY IS RUNNING ON IT'S OWN BULLSHIT

hiyo hela ingesaidia kuagiza vifaa bora vya kufanyia upasuaji so that watu kama akina Zitto na Mwakyembe wasingepelekwa India
 
"Mwanasheria wa TCRA, Elizabeth Nzagi alisema fedha za mawasiliano zimekuwa zikitolewa kwa wajumbe wa bodi ili kuwarahisishia mawasiliano baina yao na menejimenti".

Bodi members apige simu kufuatilia maendeleo ya shirika hapana siki hiyo zaidi ya kufuatilia tarehe za vikao. inawezekana kweli?labda wangesema mwenyekiti wa bodi.
Mytake: Hapa pana mchezo bodi members walikuwa wanashikishwa hiyo milungula ili kusudi jamaa wale vizuri. Wasiwasi wangu isijekuwa kama ile ya EWURA iliisha kimtindo na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
 
Kila mtu anaiba na ukikuta mtu anatafta kazi cha kwanz sio kwenda kutumikia hapana..ni maslahi sasa nchi tumeharibu wenyewe tusubiri tuliwe..
 
Unajua mimi uwa nashangaa mijadala mingi ya kimataifa nchini kama ile ya kigoda cha mwalimu Nyerere inashindwa elewa kwa nini vijana wa leo sio wazarendo.
Jamani vijana wangapi wamekosa tution fees, wangapi wasoma kwa shida kweli baada ya kupewa asilimia ndogo za mkopo wa chuo wakati hawana uwezo. hivi uzalendo utaanzia wapi? Nahisi hawajui ni kwa nini wasomi hawaipendi serikali yao kiasi cha kumzomea JK alipowasili kwenye sherehe za miaka 50 ya UDSM.
NAKUMBUKA naibu waziri wa sayansi na mawasiliano mh.Kitwanga kwenye mahojiano ya ITV kwenye kipindi 45 hours alipoulizwa na mtangazaji juu ya uwizi wa kampuni za simu, akatolea mfano unaambiwa dk kadhaa bure halafu unakatwa zaidi.
majibu yake yalikuwa ni nani ameenda kushitaki TCRA? Akaulizwa kama watu hawashitaki wao watakuwa wanafanya nini ofisini?
Akajibu,'sio rahisi wao kuchukua hatua hadi mtu ashitaki'.
Jamani hii ndio TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO.
 
kweli wajinga ndio waliwao, yaani utafikiri ni epidode ya "vitimbi"maanake miaka nenda rudi, story ni ile ile "oooh wajanja wamechangamkia dili, serikali itafanya nini?" lakini ndugu zangu nakwambieni ya kwamba ole wako uliepigia kura ccm alafu unalalamika jinsi hali ilivyo, umejitakia mwenyewe, cha kushangaza zaidi shuhudia uchaguzi ujao na jinsi ccm itashinda tena. Kuna matatizo ambayo sisi kama binadamu hatuwezi kwepa (mf ajali ya gari, kupigwa na radi nk.), lakini yapo yale ambayo ni uamuzi wetu tu, yaani umejirostisha (mf kutega shule, ukimwi, utawala wa ccm nk) kwahiyo kabla ya kupiga mayowe ya walahi mtumee, jiulize "hivi ni nini nimefanya kuchangia hili janga?"
 
Back
Top Bottom