Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,434
- 1,985
Tcra ndiyo wanasajili mabasi au latra? Yani kisa ni tozo tu!Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi ambazo zimekuwa zikisafirisha vipeto bila kuwa na Leseni. Wamepewa muda hadi Oktoba wawe wamejisajili la sivyo kitanuka.
View attachment 1935779