Shoctopus JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 3,434 Reaction score 1,985 Jul 7, 2022 #21 N'yadikwa said: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi ambazo zimekuwa zikisafirisha vipeto bila kuwa na Leseni. Wamepewa muda hadi Oktoba wawe wamejisajili la sivyo kitanuka. View attachment 1935779 Click to expand... Tcra ndiyo wanasajili mabasi au latra? Yani kisa ni tozo tu!
N'yadikwa said: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi ambazo zimekuwa zikisafirisha vipeto bila kuwa na Leseni. Wamepewa muda hadi Oktoba wawe wamejisajili la sivyo kitanuka. View attachment 1935779 Click to expand... Tcra ndiyo wanasajili mabasi au latra? Yani kisa ni tozo tu!
Centia2 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,018 Reaction score 1,640 Jul 7, 2022 #22 Si ni demokrasia-utandawazi-soko huria?? Sasa kwanini mteja apangiwe,wakati anakipata hicho KIPETO mlikuwepo??
Si ni demokrasia-utandawazi-soko huria?? Sasa kwanini mteja apangiwe,wakati anakipata hicho KIPETO mlikuwepo??