TCRA yawafungia Wasafi FM kwa kutumia lugha za matusi

Kaka usiongee kwa kutokujua, wasafi wana leseni ya Zanzibar sio Tanzania bara. So leseni waliombea Zanzibar
 
"leo mtakaa pembeni na kutuacha tuteseke peke yetu mkiamini kuwa hayawahusu ila wakimalizana na sisi watawageukia na nyie" By Tundu Lissu
Makosa ya kimaudhui yaliyofanyika si ya kuyaunga mkono.

Seems wewe unamkogesha mkeo matusi mazito hata mbele za watoto wenu na unachukulia poa
 
Uyo baba levo anataaluma ya utangazaji kweli?
 
Sentence hii ilibeba maono makubwa mno
shida yetu watanzania ni kubwa sana kuliko tunavyodhania. Nadhani shida yetu ni elimu tuliyopewa haitoshi, hata Professor wa nchi hii hajimudu kabisa, itahitaji lazima ajikombe kidogo ndio apate nafuu fulani ya maisha. Waandishi wa habari hawajitambui kabisa, sasa hivi wamekumbwa na pepo la kuvizia kuteuliwa inayosababisha waache kutangaza wanachopaswa kutangaza na badala yake kugeukia vipindi vya kipuuzi vya mipasho na michezo.
 
Hata Marekani vipindi kama hivyo hipo, lakini ni kuanzia saa 5 usiku na kuendelea... kabla ya saa 10 alfajiri
 
Baba levo nae anataka kuuharibu ustaarabu wa kitanzania Mila na desturi zetu

Maendeleo hayana vyama
ustaarabu upi? mavazi yanayovaliwa na vijana wetu yanayoacha wazi mwili yana maadili? nani anayafungia yasiingizwe, yasishonwe na yasivaliwe kwenye public? Viredio na vitv vyetu vimejaa watangazaji waliojaa hofu na wasio na weledi. Mwandishi wa habari duniani kote ni kazi ya wito kama ilivyo kwa wanajeshi. Saa yoyote mwandishi anapata misukosuko hata kufa. Waandishi wetu wanajitahidi kuukwepa ukweli huo, hivyo kujikita kwenye vipindi visivyokuwakuwa na maana na kuiacha kazi ya kuwa mhimili wa 4 wa dola.
 
Ulikisikia alichoongea babalevo kweli wewe?
Na je hayo maovu mengine uliyotaja ndio yanahalalisha maneno machafu aliyoongea babalevo???
Mtu hawezi kuhadithia anavyofanya mapenzi na hisia anazopata kwenye media tena live bila hata kutumia tafsida akaachwa eti sababu wengine pia wanafanya makosa
 
Sheria siyo msumeno kama unavyofikiri. Anafukuzwa kazi mwalimu na daktari kwa kuwa ana vyeti feki lakini anaachwa mwanajeshi mwenye vyeti feki kwasababu akifukuzwa kazi atakuwa jambazi mtaani. Mpaka hapa maana ya sheria ni msumeno itakuwa ina maana?
Sheria zilitungwa kwa watu wasio na nguvu kimadaraka na ni masikini.
Hahahaaaa...... Sheria ni msumeno bwashee!
 
Hivi tbc itafungiqa lini??? Wabaguzi wakuu zaidi kuliko vyombo vingine ambavyo sio vya walipakodi.....
 
Mzee huwa unasikilizaga nyimbo za bongo fleva zinazopigwa hata TBC? Mwanaume mashine, tipwatipwa tetema, zile za Nandi, Harmonize, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…