TCRA yawafungia Wasafi FM kwa kutumia lugha za matusi

TCRA yawafungia Wasafi FM kwa kutumia lugha za matusi

Imesababisha Mpaka Tukose Kipindi Changu Pendwa Cha SPORTS ARENA&COURT.....

Siku Nyingine Wawe Makini....

TCRA hawajakosea KUSIMAMIA MAADILI mtambuka!!!
 
Mnaliangalia sana KISIASA na Kiutawala....

TCRA Wasizingatie MAADILI?!!!

Duuh
 
Kama ni hivyo tcra wapo sawa, tena hiyo adhabu ya wiki 1 ni ndogo sana, shwain zao.
Duuuh Inawatosha Banaaa...

Yaani Waongezewe Wiki Tuzidi Kukosa Uhondo Wa SPORTS ARENA?!!😁😁😁Acha hizo banaaa
 
Hizi Radio za mwendokas ni shida sana

Walitegemea wataongeza audience kumbe ndio kupigwa Loss
Nimemkumbuka Zembwela hapa..
BTW. . Bado yale mambo ya kijinga kutangaza magazeti kishabiki
sasa hata kama ni ww alichoongea baba levo mbele ya radio na duniani kote sio sawa haivumiliki kwa mambop yale....mtu hata hafichi neno
 
Ila niliitazama kile kipindi kiukweli TCRA wanakahaki ya kufungia stesheni. Yaani kipindi kimekosa maudhui hadi basi.....

Baba levo aliulizwa swali kuwa kati ya mwanamke mnene mwenye shepu na wembamba ni yupi anapendelea....

Baba levo akajibu yeye wanawake wanene/mabonge asichowapendea ni wanachoka haraka kitandani halafu wanakuharakisha na wewe ukojoe haraka haraka, so yeye huwa anachofanya anawakojolea mkojo wa kawaida na sio bao lile bao la utamu.....




Katika hali ya kawaida mazungumzo ya namna hii hayana hadhi ya kurushwa hewani as if ni jambo la kawaida na wakati ni kinyume na maadili yetu ya kitanzania na kiafrika lakini mbaya zaidi inachochea maswala ya ngono.
Maudhui kama haya eti chadema wanakuja na hoja kuwa WAKIWAMALIZA HAO WATAWAGEUKIA NYIE....
Katika hali hii bado mnatakabkutetea ujinga?
 
Hizi Radio za mwendokas ni shida sana

Walitegemea wataongeza audience kumbe ndio kupigwa Loss
Nimemkumbuka Zembwela hapa..
BTW. . Bado yale mambo ya kijinga kutangaza magazeti kishabiki
Wale wasoma magazeti wanatakiwa wakamatwe wapuuzi sana wale
 
Back
Top Bottom