TCRA yawafungia Wasafi FM kwa kutumia lugha za matusi

TCRA yawafungia Wasafi FM kwa kutumia lugha za matusi

Ila huyu anauboresha eh!? Msalimie D

Kwa huyu content ilikua inaeleweka ila watu waliamua kutafsiri walivyotaka wao..... kama JK alivyosemaga ukitaka kula lazima uliwe watu wakashangilia hahahaaa
Baba levo anaongea jinsi ya kukojolea wanawake wanene kha.....mambo gani hayo
 
Kila mmoja atapigwa spana kwa wakati wake aafi sana.
 
Hapo ndo kuna tatitizo mkuu, hata mimi nimekuwa nikijiuliza, ukijua kuongea ongea ndo unakuwa mtangazaji bora,? lakini hii qualification naiona inatumiwa na media za mwendo kasi tu, nimefuatilia kwenye media makini hazijaajili watu wa namna hiyo!
Radio one huwezi kukuta upuuzi wa namna iyo
 
Hivyo eh! Content ya kupiga akina mama na mashangazi na wewe mama unataka kupanuliwa wapi ilieleweka eh!? BAK kichwa kizito.

Kwa huyu content ilikua inaeleweka ila watu waliamua kutafsiri walivyotaka wao..... kama JK alivyosemaga ukitaka kula lazima uliwe watu wakashangilia hahahaaa
Baba levo anaongea jinsi ya kukojolea wanawake wanene kha.....mambo gani hayo
 
Ila niliitazama kile kipindi kiukweli TCRA wanakahaki ya kufungia stesheni. Yaani kipindi kimekosa maudhui hadi basi.....

Baba levo aliulizwa swali kuwa kati ya mwanamke mnene mwenye shepu na wembamba ni yupi anapendelea....

Baba levo akajibu yeye wanawake wembamba asichowapendea ni wanachoka haraka kitandani halafu wanakuharakisha na wewe ukojoe haraka haraka, so yeye huwa anachofanya anawakojolea mkojo wa kawaida na sio bao lile la utamu.....

Katika hali ya kawaida mazungumzo ya namna hii hayana hadhi ya kurushwa hewani as if ni jambo la kawaida na wakati ni kinyume na maadili yetu ya kitanzania na kiafrika lakini mbaya zaidi inachochea maswala ya ngono.
Km ndo hivi bora wamefungiwa

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Back
Top Bottom