TCU bado wanapokea maombi ya kujiunga na chuo?

wangewange

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
189
Reaction score
43
Hello wana jf
Naomba nijulishwe kama tcu bado wanapokea maombi ya chuo ...
 
Deadline ilipita zaman sa iv hakuna uwezekano wa kuomba tena mpaka mwakan
 
Wanaongeza nafas kwa koz za afya kwa wale PCB na CBG waliotemwa raundi ya kwanza.... fika ofisini kwa maelezo zaid
 
Thanks for the info...
Vip kwa New applicants ? NBC still voucher zipo lakin cjajua tcu km wanaendelea kupokea maomb
 
Hello wana jf
Naomba nijulishwe kama tcu bado wanapokea maombi ya chuo ...
leo nilikua pale tcu niliona vijana 3 walichelewa kuapply lkn walitoa sababu zilizoeleweka wakapokelewa ivyo fanya hima nenda uwahi kabla ya kesho nnaiman utapokelewa
 
Kwahiyo niende tcu moja kwa moja? N nipo nje ya Dar au wana branches??
 
Deadline ni leo ijumaa..juzi nilimcndkza mtu flani pale oficn kwao mikocheni,wakasema mwisho rasmi wa kuomba kwa new applicants ni tarehe 19/09/2014.nadhani umepata mwanga.
 
Asante sana sana umenisaidia vya kutosha ,uzuri kuna tawi jana voucher zilkuwepo isipokua walinshaur nihakikishe ndiyo ninue vocha kama ni hivo leo asubuh ntakua NBC n ntakamilisha registration
 
SUPP ushamaliza mkuu??......... Dr. Karamagi asije akakudaka tena
 
Asante sana sana umenisaidia vya kutosha ,uzuri kuna tawi jana voucher zilkuwepo isipokua walinshaur nihakikishe ndiyo ninue vocha kama ni hivo leo asubuh ntakua NBC n ntakamilisha registration
lakini na wewe embu kuwa na akili hata kidogo huko upstairs kwako...sasa muda wote huo wenzio wanaaply wewe ulikuwa wapi??...embu kitulize uapply mwakani....
 
meanyewe najiuliza ata sielewi takriban miezi miwili mtu hajazi tu anangoja hadi mstari mfu upite ndo aje kusumbua huku jf
 
Back
Top Bottom