wangewange
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 189
- 43
Hello wana jf
Naomba nijulishwe kama tcu bado wanapokea maombi ya chuo ...
Naomba nijulishwe kama tcu bado wanapokea maombi ya chuo ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwisho ilikua tarehe 15/9 sasa ivi sikjui ebu subiri watu waje watoe michango
Deadline ilipita zaman sa iv hakuna uwezekano wa kuomba tena mpaka mwakan
Tz Owk na je haiwezekan kuomba chuo direct ? Kwenye chuo husika?
Wanaongeza nafas kwa koz za afya kwa wale PCB na CBG waliotemwa raundi ya kwanza.... fika ofisini kwa maelezo zaid
Thanks for the info...
Vip kwa New applicants ? NBC still voucher zipo lakin cjajua tcu km wanaendelea kupokea maomb
leo nilikua pale tcu niliona vijana 3 walichelewa kuapply lkn walitoa sababu zilizoeleweka wakapokelewa ivyo fanya hima nenda uwahi kabla ya kesho nnaiman utapokelewaHello wana jf
Naomba nijulishwe kama tcu bado wanapokea maombi ya chuo ...
leo nilikua pale tcu niliona vijana 3 walichelewa kuapply lkn walitoa sababu zilizoeleweka wakapokelewa ivyo fanya hima nenda uwahi kabla ya kesho nnaiman utapokelewa
Deadline ni leo ijumaa..juzi nilimcndkza mtu flani pale oficn kwao mikocheni,wakasema mwisho rasmi wa kuomba kwa new applicants ni tarehe 19/09/2014.nadhani umepata mwanga.
SUPP ushamaliza mkuu??......... Dr. Karamagi asije akakudaka tenaDeadline ni leo ijumaa..juzi nilimcndkza mtu flani pale oficn kwao mikocheni,wakasema mwisho rasmi wa kuomba kwa new applicants ni tarehe 19/09/2014.nadhani umepata mwanga.
lakini na wewe embu kuwa na akili hata kidogo huko upstairs kwako...sasa muda wote huo wenzio wanaaply wewe ulikuwa wapi??...embu kitulize uapply mwakani....Asante sana sana umenisaidia vya kutosha ,uzuri kuna tawi jana voucher zilkuwepo isipokua walinshaur nihakikishe ndiyo ninue vocha kama ni hivo leo asubuh ntakua NBC n ntakamilisha registration
lakini na wewe embu kuwa na akili hata kidogo huko upstairs kwako...sasa muda wote huo wenzio wanaaply wewe ulikuwa wapi??...embu kitulize uapply mwakani....
Tz Owk na je haiwezekan kuomba chuo direct ? Kwenye chuo husika?
lakini na wewe embu kuwa na akili hata kidogo huko upstairs kwako...sasa muda wote huo wenzio wanaaply wewe ulikuwa wapi??...embu kitulize uapply mwakani....
inawezekana kabisa wewe nenda kwenye hicho chuo husika ukafanye usahili