hapo toa hyo udsm kabsaaa weka dit tafuta na vngineJamani Mimi ni form six leaver nliepata BCC Kwa PCM Nikaomba vyuo katika order hii
Civil eng-udsm
Electrical eng-udsm
Pharmacy-mumbl
Ofcoz sikuchaguliwa ila nnachoshangaa ni machali zangu wenye two ambao wameomba kwa mtiririko kama wangu wamepataa ila mm nimekosaaa.....apoo ndipo ninapoilaumu hii taasisi ya udahili wa vyuo vikuu kwamba haitendi hakii.....
Naomben nishaurini kwa huu mtindo mwingine nlioomba ntapataa...??
Telecoms eng-udsm
Comp eng-udsm
Comp eng -Dit
Ahsantenii saanaa wadau ....am stressed....!!!!
shobo mponyoko za jiji kwa nn usingejaza vyuo ambavyo havina compettnDiploma kwenda Degree wanaapply NACTE au TCU?
....Maana nao wanalalamika kubaguliwa
Wanaangalia wakwanza kuapply na uitaji pia na wana mix wangekua wanataka one tu wasinge weka cutting point ya 4 ,mbona mimi nina one.6 ila siku ng'ang'ania ud? na chuo nimepataYour take ni Kweli mfumo wa TCU ulitakiwa uanze na Mwenye cutt off nying from 3 subject mfano wewe una BCC 4+3+3 =10 total sasa apa unakuta mtu ana 7 anapata chuo kama UDSM electriacal afu we na kumi kama cutt off unaanchwa TCU awako fair kabisa ,Am doubt sijui wanaapply FI-FO na LI-FO yaan First in -First out and Last in First out ,
unangangania udsm mno na usipokuwa makini utaachwa tenaJamani Mimi ni form six leaver nliepata BCC Kwa PCM Nikaomba vyuo katika order hii
Civil eng-udsm
Electrical eng-udsm
Pharmacy-mumbl
Ofcoz sikuchaguliwa ila nnachoshangaa ni machali zangu wenye two ambao wameomba kwa mtiririko kama wangu wamepataa ila mm nimekosaaa.....apoo ndipo ninapoilaumu hii taasisi ya udahili wa vyuo vikuu kwamba haitendi hakii.....
Naomben nishaurini kwa huu mtindo mwingine nlioomba ntapataa...??
Telecoms eng-udsm
Comp eng-udsm
Comp eng -Dit
Ahsantenii saanaa wadau ....am stressed....!!!!
Angalieni na matokeo yenu ya o level kama yapo vuzur. Ukute o level hukubalance hata comb ukakimbilia private school then ukafahulu kwa janja janja za huko ukajiona kipanga then unataka UDSM [emoji1]Your take ni Kweli mfumo wa TCU ulitakiwa uanze na Mwenye cutt off nying from 3 subject mfano wewe una BCC 4+3+3 =10 total sasa apa unakuta mtu ana 7 anapata chuo kama UDSM electriacal afu we na kumi kama cutt off unaanchwa TCU awako fair kabisa ,Am doubt sijui wanaapply FI-FO na LI-FO yaan First in -First out and Last in First out ,
Angalieni na matokeo yenu ya o level kama yapo vuzur. Ukute o level hukubalance hata comb ukakimbilia private school then ukafahulu kwa janja janja za huko ukajiona kipanga then unataka UDSM [emoji1]Jamani Mimi ni form six leaver nliepata BCC Kwa PCM Nikaomba vyuo katika order hii
Civil eng-udsm
Electrical eng-udsm
Pharmacy-mumbl
Ofcoz sikuchaguliwa ila nnachoshangaa ni machali zangu wenye two ambao wameomba kwa mtiririko kama wangu wamepataa ila mm nimekosaaa.....apoo ndipo ninapoilaumu hii taasisi ya udahili wa vyuo vikuu kwamba haitendi hakii.....
Naomben nishaurini kwa huu mtindo mwingine nlioomba ntapataa...??
Telecoms eng-udsm
Comp eng-udsm
Comp eng -Dit
Ahsantenii saanaa wadau ....am stressed....!!!!
anatafuta kudisco au kupata GPA ndogoHuyo c anatafuta chuo chenye jina