TCU hawachagui kwa usawa

TCU hawachagui kwa usawa

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,093
Reaction score
2,843
Jamani Mimi ni form six leaver nliepata BCC Kwa PCM Nikaomba vyuo katika order hii
Civil eng-udsm
Electrical eng-udsm
Pharmacy-mumbl

Ofcoz sikuchaguliwa ila nnachoshangaa ni machali zangu wenye two ambao wameomba kwa mtiririko kama wangu wamepataa ila mm nimekosaaa.....apoo ndipo ninapoilaumu hii taasisi ya udahili wa vyuo vikuu kwamba haitendi hakii.....

Naomben nishaurini kwa huu mtindo mwingine nlioomba ntapataa...??

Telecoms eng-udsm
Comp eng-udsm
Comp eng -Dit

Ahsantenii saanaa wadau ....am stressed....!!!!
 
hapo toa hyo udsm kabsaaa weka dit tafuta na vngine
 
Your take ni Kweli mfumo wa TCU ulitakiwa uanze na Mwenye cutt off nying from 3 subject mfano wewe una BCC 4+3+3 =10 total sasa apa unakuta mtu ana 7 anapata chuo kama UDSM electriacal afu we na kumi kama cutt off unaanchwa TCU awako fair kabisa ,Am doubt sijui wanaapply FI-FO na LI-FO yaan First in -First out and Last in First out ,
 
Diploma kwenda Degree wanaapply NACTE au TCU?
....Maana nao wanalalamika kubaguliwa
 
Tatizo kubwa kwa form six leavers ni kutokujua namna ya kuchagua vyuo.

Kama hapo umekazana na UDSM UDSM.
UDSM sio kwamba wanachukua waliofaulu sana, no no no unakosea sana. Wao wanachagua wanaowahitaji kwa kuchanganyachanganya. Hapo utakuta wanachukua mwenye point 4, wewe unaachwa.

Changanya vyuo lasivyo utaisoma namba
 
Mukubwa ud kuna nafasi 30 tu zilizobaki kwa jumla ya kozi zote na ulizoomba wewe sidhani kama kuna nafasi
 
Your take ni Kweli mfumo wa TCU ulitakiwa uanze na Mwenye cutt off nying from 3 subject mfano wewe una BCC 4+3+3 =10 total sasa apa unakuta mtu ana 7 anapata chuo kama UDSM electriacal afu we na kumi kama cutt off unaanchwa TCU awako fair kabisa ,Am doubt sijui wanaapply FI-FO na LI-FO yaan First in -First out and Last in First out ,
Wanaangalia wakwanza kuapply na uitaji pia na wana mix wangekua wanataka one tu wasinge weka cutting point ya 4 ,mbona mimi nina one.6 ila siku ng'ang'ania ud? na chuo nimepata
 
Jamani Mimi ni form six leaver nliepata BCC Kwa PCM Nikaomba vyuo katika order hii
Civil eng-udsm
Electrical eng-udsm
Pharmacy-mumbl

Ofcoz sikuchaguliwa ila nnachoshangaa ni machali zangu wenye two ambao wameomba kwa mtiririko kama wangu wamepataa ila mm nimekosaaa.....apoo ndipo ninapoilaumu hii taasisi ya udahili wa vyuo vikuu kwamba haitendi hakii.....

Naomben nishaurini kwa huu mtindo mwingine nlioomba ntapataa...??

Telecoms eng-udsm
Comp eng-udsm
Comp eng -Dit

Ahsantenii saanaa wadau ....am stressed....!!!!
unangangania udsm mno na usipokuwa makini utaachwa tena
 
Your take ni Kweli mfumo wa TCU ulitakiwa uanze na Mwenye cutt off nying from 3 subject mfano wewe una BCC 4+3+3 =10 total sasa apa unakuta mtu ana 7 anapata chuo kama UDSM electriacal afu we na kumi kama cutt off unaanchwa TCU awako fair kabisa ,Am doubt sijui wanaapply FI-FO na LI-FO yaan First in -First out and Last in First out ,
Angalieni na matokeo yenu ya o level kama yapo vuzur. Ukute o level hukubalance hata comb ukakimbilia private school then ukafahulu kwa janja janja za huko ukajiona kipanga then unataka UDSM [emoji1]
 
Jamani Mimi ni form six leaver nliepata BCC Kwa PCM Nikaomba vyuo katika order hii
Civil eng-udsm
Electrical eng-udsm
Pharmacy-mumbl

Ofcoz sikuchaguliwa ila nnachoshangaa ni machali zangu wenye two ambao wameomba kwa mtiririko kama wangu wamepataa ila mm nimekosaaa.....apoo ndipo ninapoilaumu hii taasisi ya udahili wa vyuo vikuu kwamba haitendi hakii.....

Naomben nishaurini kwa huu mtindo mwingine nlioomba ntapataa...??

Telecoms eng-udsm
Comp eng-udsm
Comp eng -Dit

Ahsantenii saanaa wadau ....am stressed....!!!!
Angalieni na matokeo yenu ya o level kama yapo vuzur. Ukute o level hukubalance hata comb ukakimbilia private school then ukafahulu kwa janja janja za huko ukajiona kipanga then unataka UDSM [emoji1]
 
Matokeo yako ya form 4 ambayo pia huwa yanaangaliwa especial kwa combination zako "credit"
 
Back
Top Bottom