TCU hawachagui kwa usawa

TCU hawachagui kwa usawa

Mkuu kuna kitu kidogo tu hujajua ni kuwa TCU HAWAHUSIKI NA KUCHAGUA WANAFUNZI BALI WAHUSIKA NI CHUO HUSIKA
Hapana mkuu iko hivi kama hujui
TCU hua wanapelekewa cut off za kila chuo. Then wanachagua majina na kuyatuma kwa kila chuo baadaye approval/ confirmation inafanyika kisha chuo kinatoa selection

Ndivyo ilivyo...!
 
Unaweza ukawa na CCD PCM ukatemwa hiyo civil na mwenzako akawa na CEC akapata kwa sababu engineer wanaangalia zaidi ufaulu Wa phyis and Chem msiwe tu mnailaumu TCU someni kwa malengo la sivyo IF function itawatema sana
 
Mleta mada muongo sana,sema ukweli,nina dogo angu amepata UDSM(matokea ya awali yaliyowekwa humu kabla ya changes) Civil akiwa na PCM yenye CCD
Hongera yake ana bahati kuna rafiki yangu nimemaliza nae pcm ana BBC kakosa civil udsm. Na olevel alikua na div 1 ya 10. Sasa vigezo gani wanaangalia.
 
Mdogo wangu pole sana kwa huyo rafiki yako kukosa civil. UDSM Civil wanachukua wanafunzi takribani 180.kwa mwaka wetu 2012 tulichaguliwa wanafunzi 180.na mtu wa mwisho kuchaguliwa alikua ana CCD. I mean division 2 ya point 10.sasa kwa mwaka wenu division one zimejaa possible ya kukosa mtu mwenye BCC au BBC ni kawaida mno.. Wala hakuna cha kushangaza.. Mwambie huyo ndugu yako kama anataka UDSM achague computer science kwenye second selection akifika chuo anabadili.. Anakwenda CIVIL.
alafu ngoja nikutoe hofu katika vyuo ambavyo viko fair kuchagua UDSM wanaongoza mana mwisho wa siku wanatoa majina ya waliochaguliwa na marks zao za o level na Advance.
 
Sasa inakuaje mwenye dv 2 apate afu mwenye 1 kali akose kama ni ushindani. Hapo hapo udsm kozi ya civil.
 
Unaweza ukawa na CCD PCM ukatemwa hiyo civil na mwenzako akawa na CEC akapata kwa sababu engineer wanaangalia zaidi ufaulu Wa phyis and Chem msiwe tu mnailaumu TCU someni kwa malengo la sivyo IF function itawatema sana
Wewee unazingua sijui umesoma HKL engineer wanaangalia zaid PHYS +MATHS
 
Your take ni Kweli mfumo wa TCU ulitakiwa uanze na Mwenye cutt off nying from 3 subject mfano wewe una BCC 4+3+3 =10 total sasa apa unakuta mtu ana 7 anapata chuo kama UDSM electriacal afu we na kumi kama cutt off unaanchwa TCU awako fair kabisa ,Am doubt sijui wanaapply FI-FO na LI-FO yaan First in -First out and Last in First out ,
Tokeo lako la form four sometime linahusika
 
Maths-A
PHYSICS-B+
CHEM-B+
BIOLOGY-B+
ENGLISH-B+
KISWAHILI-B+
CIVICS-B

Hayo ndo matokeo yangu ya olevel na advance nkapata

Gs-F
PHYSICS-B
CHEMISTRY-C
MATHS-C

so nashindwaa kuwaelewaa hawaa jamaa
Iyo F ya GS
 
1.Linganisha matokeo yako ya 4m 4 na hao wenzio.
2. Hivyo vyuo complicated sn na competition kubwa sn.
3. Everythng happen 4reasons nyota hazifanani ndugu hivo huwezi jua kwann umekosa.
4. Usirudie makosa.
 
Labda nyota ila sio ufaulu
 
Nyota pia mkuu nmeamini hcho kitu kilitokea msimu wa div 3 za 30, waliachwa wenye 2 wakachukuliwa wenye 3 za 30 na kupangiwa coz swaaaf hivo mkuu asihofu fungu lake lipo tu
 
Ee asee nyota kitu muhimu saaanbaaaa
 
Back
Top Bottom