mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
Hapana mkuu iko hivi kama hujuiMkuu kuna kitu kidogo tu hujajua ni kuwa TCU HAWAHUSIKI NA KUCHAGUA WANAFUNZI BALI WAHUSIKA NI CHUO HUSIKA
TCU hua wanapelekewa cut off za kila chuo. Then wanachagua majina na kuyatuma kwa kila chuo baadaye approval/ confirmation inafanyika kisha chuo kinatoa selection
Ndivyo ilivyo...!