TCU ianzishe baraza la mitihani la taifa kwa vyuo vikuu

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
TCU kwa wakati huu imevikwa jukumu la ku-control elimu ya juu Tanzania. Mojawapo ya kubwa wanalofanya ni ku-harmonize viwango vya wanafunzi wanaodahiliwa katika vyuo vikuu vingi nchini. Hili ni jambo zuri lakini ni vyema pia TCU waka-control viwango vya wanafunzi wanaohitimu vyuo vikuu

Kumekuwapo na hali ya quality ya degree zinazotolewa katika vyuo tofauti kupata reputation tofauti na jamii. Mtakumbuka mwaka jana taasisi moja ilipotangaza nafasi za kazi gazetini, ilidokeza wazi kuwa haihitaji maombi kutoka kwa wahitimu wa UDOM, wakitoa sababu kuwa quality za degree za chuo kile ni za chini sana

Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kuwa baadhi ya vyuo kuwa na standards tofauti katika ku-assess wanafunzi wao, na hii inapelekea baadhi ya waajiri na jamii kwa ujumla kutoziamini au kuzithamini degrees zinazotoka katika vyuo fulani. Siku hizi ukimwambia mtu nina first class, ni jambo la kawaida kukuuliza, umesoma chuo gani...
Hali hii ni tofauti sana kwa mfano na mtu akikwambia nina division I form six, ambapo katika hali ya kawaida itaeleweka kuwa shule aliyosoma, haidetermine sana quality ya hiyo division I kwa kuwa alitahiniwa na NECTA

Baada ya utangulizi huo mfupi, naomba nipendekeze kwa kifupi sana yafuatayo
1. TCU ifanye harmonization and standardization ya curriculum za kozi zote zinazofundishwa katika vyuo vilivyoko chini yake
2. TCU ianzishe bodi ya mitihani (au baraza la mitihani), na kuwa pamoja na mitihani inayofanyika vyuoni kila mwisho wa semester, uwepo mtihani mmoja wa mwisho unaotolewa na kuratibiwa na TCU kwa kozi zote.
3. Transcripts na vyeti vianishe daraja la degree ya mhitimu ikizingatia evaluation ya ndani (kwa kuangalia matokeo ya mitihani ya mwisho wa semesters inayotolewa mavyuoni) na evaluation ya TCU (kwa kuangalia matokeo ya mtihani wa mwisho unaotolewa na TCU)
Hii iwe sawa na kunavtokuwa na mitihani ya CPA kwa wale wa mambo ya uhasibu.

Nawasilisha
 
jamaa unachokonoa mzinga wa nyuki,me cmo :x
 
Mwa mujibu wa Sheria iliyoanzisha TCU kazi za TCU ni Tatu tuu kama zinavyojieleza hapo chini, kuongeza hili maana yake ni kuwa sheria iliyoiunda TCU ya sasa inabidi irekebishwe ili kuingiza hilo wazo lako. na ili hilo litkee inabidi hoja yako ipelekwe Bungeni na Bunge lenyewe si unaliona siku hizi ... ? kazi kweli kweli

(i) Regulatory: Conducting periodic evaluation of universities, their systems and programs so as to oversee quality assurance systems at the universities and in the process leading to new institutions to be registered to operate in Tanzania, and the existing the institutions to be accredited, and validation of university qualifications attained from local and foreign institutions for use in Tanzania.

(ii) Supportive: Ensuring the orderly performance of the Universities and the maintenance of the set quality standards, by providing support to universities in terms of coordinating the admission of students, offering training and other sensitization interventions in key areas like quality assurance, university leadership and management, fund raising and resources mobilization gender aspects in university management and gender mainstreaming, etc.

(iii) Advisory: Advising government and the general public on matters related to the higher education system in Tanzania, including program and policy formulation on higher education, and the international issues pertaining to higher education. It is my expectation that TCU will receive your maximum support in implementing its mandate and make University education contribute to the development of the country in general.

ÜMENIPATA.............? Siku njema
 
Umeona wapi duniani degree za vyuo vyote vinapimwa na mtihan mmoja? Chuo ni taasisi inayojitegemea so hata siku moja haviwezi kuwa sawa kwa ubora, hata marekan kuna vyuo vya ivy league ambavyo kwenye ajira vinapewa kipaumbele dunia nzima. Kila chuo kinajitungia mitihan yake yenyewe na kinatunuku shahada chenyewe bila kuingiliwa na yeyote
 
Nimekupata Mkuu, na asante kwa ufafanuzi
Hata hivyo naona kuna 'mwanya' wa kufanya harmonization and srandardization za curriculum katika hayo niliyoya-highlight. Kwa sababu hapo inaposemwa "Ensuring the orderly performance of the Universities and the maintenance of the set quality standards" haijasemwa How? Kwa sababu kama kuna hiyo set quality standards, ni kwa vipi inahakikiwa? By the way, kweli hiyo quality standard inakuwa maintained at equal level na vyuo vyote? Consider kwa mfano MUCoBs, UDSM, Mzumbe, Tumaini nk, wote wanatoa degree ya BCom. Lakini Curriculum za kozi hizi zinatengenezwa na kupitishwa na kila chuo kivyake! Mitihani inatungwa, kutolewa na kusahihishwa na kila chuo peke yake! Hapa ni kwa vipi tutajiridhisha kuwa TCU ime-ensure maintenance of the set quality standards za BCom Tanzania?

Kuna hichi kipengele kingine tena kinasema "providing support to universities in terms of coordinating the admission of students, offering training and other sensitization interventions in key areas like quality assurance" hapo kwenye bold, haijaainisha ni zipi hizo interventions, lakini hata hiyo waliyotoa kama mfano (quality assurance), nadhani ndio kipengele sahihi cha TCU ku-harmonize curriculum na kutoa mitihani. Maana kama wameweza kutafsiri hicho kipengele cha 'coordinating admision of students' kwa wao kuchukua mandate ya centralization of students admision, sidhani kama watashindwa kufanya centralization of students evaluation

Unaonaje?
 
Umeona wapi duniani degree za vyuo vyote vinapimwa na mtihan mmoja? Chuo ni taasisi inayojitegemea so hata siku moja haviwezi kuwa sawa kwa ubora, hata marekan kuna vyuo vya ivy league ambavyo kwenye ajira vinapewa kipaumbele dunia nzima. Kila chuo kinajitungia mitihan yake yenyewe na kinatunuku shahada chenyewe bila kuingiliwa na yeyote

Sina exposure sana kuhusu yanayofanyika katika nchi nyingine. Mimi nimejaribu kustate hili tatizo kwa kuangalia linavyoathiri elimu ya Tanzania. Lakini kama Chuo ni taasisi inayojitegemea, iweje sasa kwa Tanzania qualities za kujiunga na vyuo vyote vilivyopo chini ya TCU iwe sawa. Unafahamu kwamba siku hizi ukitaka kujiunga Ud, SUA, Mzumbe, St. Augustine nk, njia kubwa ni kutumia online application system ya TCU. Hapa wameset standards zao na kama upo chini ya hapo, system haikuruhusu kuendelea na application. Je, hapo haijavuka hiyo mipaka ya chuo kuwa taasisi inayojitegemea kweli? Na kwa hili mi naona ni jema...
 
Wewe intake ni sawa as high schools have to get tested if they qualify for higher learning, in usa kabla ya kwenda chuo unafanya SAT test, which is student assesment test na had ufaulu ndo unajiunga na college eduacation, its a same as necta examz tcu used, na hata college admission inaongozwa na college boards. So kwenye intake sawa but kwenye kutunga pepa moja ifanywe na wote hakunaga
 
Kwa hiyo sasa firstclass ya UDSM inatofautiana na ya MZUMBE! kivip jibu plz
 
hizo ni propaganda zinazotaka kuonyesha chuo kimoja ni bora kuliko vingine...na haya yote ni kuhofia kupoteza umaarufu wake.
Mtoa mada kumbuka mpaka chuo kifikie kuitwa chuoa kikuu kuna taratibu zinapitiwa ikiwa pamoja kuangalia viwango vya walimu wao,mitaala na kama inajitosheleza katika vifaa vya kutoa Elimu hata product itakayotoka hapo.
Tuache zana ile ya kwamba chuo fulani ni bora ya kingine kisa eti ni cha siku nyingi ama kimetoa viongozi wengi.
Tupende na kuviendeleza vya kwetu na tuvilinde.UDOM ni chuo bora kama vingine Tanzania
 
Binafsi siwezi kukubali au kupinga hadi ziwe tested. Lakini kama unaishi Tanzania hii, utajua kuwa kuna watu wanaamini hivyo...
 
hizo ni propaganda zinazotaka kuonyesha chuo kimoja ni bora kuliko vingine...na haya yote ni kuhofia kupoteza umaarufu wake.
Mtoa mada kumbuka mpaka chuo kifikie kuitwa chuoa kikuu kuna taratibu zinapitiwa ikiwa pamoja kuangalia viwango vya walimu wao,mitaala na kama inajitosheleza katika vifaa vya kutoa Elimu hata product itakayotoka hapo.
Tuache zana ile ya kwamba chuo fulani ni bora ya kingine kisa eti ni cha siku nyingi ama kimetoa viongozi wengi.
Tupende na kuviendeleza vya kwetu na tuvilinde.UDOM ni chuo bora kama vingine Tanzania

Mi nadhani hii ni hatua ya kuondoa propaganda kuwa chuo kimoja ni bora kuliko kingine, kwa kuwaweka kwenye mzani mmoja. Binafsi siamini sana kuwa utofauti kati ya degree ya chuo kimoja na kingine. Hata hivyo katika mazingira haya...
-mwalimu huyo huyo anafundisha, anatunga mtihani, anasahihisha, anatoa matokeo... mtu huyohuyo...
-vyuo vinajitangaza na kuhakikisha kuwa vina wanafunzi wa kutosha ili vipate ada kubwa
Lolote linaweza kutokea.

But jiulize kwanza kwa nini mtu atangaze kazi alafu kwenye tangazo akatae applications kutoka chuo fulani kwa kigezo cha ubora?
 
TCU kwa wakati huu imevikwa jukumu la ku-control elimu ya juu Tanzania. Mojawapo ya kubwa wanalofanya ni ku-harmonize viwango vya wanafunzi wanaodahiliwa katika vyuo vikuu vingi nchini. Hili ni jambo zuri lakini ni vyema pia TCU waka-control viwango vya wanafunzi wanaohitimu vyuo vikuu

Kumekuwapo na hali ya quality ya degree zinazotolewa katika vyuo tofauti kupata reputation tofauti na jamii. Mtakumbuka mwaka jana taasisi moja ilipotangaza nafasi za kazi gazetini, ilidokeza wazi kuwa haihitaji maombi kutoka kwa wahitimu wa UDOM, wakitoa sababu kuwa quality za degree za chuo kile ni za chini sana

Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kuwa baadhi ya vyuo kuwa na standards tofauti katika ku-assess wanafunzi wao, na hii inapelekea baadhi ya waajiri na jamii kwa ujumla kutoziamini au kuzithamini degrees zinazotoka katika vyuo fulani. Siku hizi ukimwambia mtu nina first class, ni jambo la kawaida kukuuliza, umesoma chuo gani...
Hali hii ni tofauti sana kwa mfano na mtu akikwambia nina division I form six, ambapo katika hali ya kawaida itaeleweka kuwa shule aliyosoma, haidetermine sana quality ya hiyo division I kwa kuwa alitahiniwa na NECTA

Baada ya utangulizi huo mfupi, naomba nipendekeze kwa kifupi sana yafuatayo
1. TCU ifanye harmonization and standardization ya curriculum za kozi zote zinazofundishwa katika vyuo vilivyoko chini yake
2. TCU ianzishe bodi ya mitihani (au baraza la mitihani), na kuwa pamoja na mitihani inayofanyika vyuoni kila mwisho wa semester, uwepo mtihani mmoja wa mwisho unaotolewa na kuratibiwa na TCU kwa kozi zote.
3. Transcripts na vyeti vianishe daraja la degree ya mhitimu ikizingatia evaluation ya ndani (kwa kuangalia matokeo ya mitihani ya mwisho wa semesters inayotolewa mavyuoni) na evaluation ya TCU (kwa kuangalia matokeo ya mtihani wa mwisho unaotolewa na TCU)
Hii iwe sawa na kunavtokuwa na mitihani ya CPA kwa wale wa mambo ya uhasibu.
Nawasilisha

Sijui kwanini watu hawakugongei like kwa hii post. Ebana that's wassap, ni wazo zuri sana maana litaondoa ubaguzi flani flani na ushabiki wa vyuo
 
kuna document nimeisoma leo toka TCU inaitwa High Education Qualification and Harmonization Tool, inayotaka kuwe na ulinganifu wa degree kwa maana kuwa pawe na mtaala unaofanana wa kila degree kwa vyuo vyote TZ, hiyo ikiwa ni pamoja na masaa yanayotumika kufundishia course husika, Asignment walizofanya wafundishwa, Presentation pamoja na Grading inayofanana kwa vyuo vyoote,

Nilipoisoma tuu ikaniclick kuhusu hoja yako na baada ya kuisoma nikakubaliana nawe hilo linawezekana, bahati nzuri ni kuwa document hiyo imetengenezwa ja jopo la Mafrofesa kwa uratibu wa TCU na ilifadhiliwa na Bank ya Dunia (WB), Wiki mbili zilizopita waliitwa Ma-vice Chancellor na madiputy wao pluss Admissions Officer wa vyuo vyoote nchini ambapo waliipitisha na siku iliyofuata waliitwa viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vyoote nao waliipitisha bila kupinga ingawa natonywa kuwa vijana hawa almaarufu kama TAHILISO walipenyeza zaidi siasa balada ya kuperuzi document na kuijadili Document husika na hata wakageuza mjadala badala ya kujadili Higher Education Qualification tool wakatumbukiza swala la mikopo kwenye mjadala. Nashukuru Mungu document imeonyesha kuwa walionywa sana kuhusu kuichanganya TCU na HESLB na mwenyekiti ambaye alikuwa ni Prof. Mhageni Deputy VC wa Ardhi University" haya yalitokea Blue Pearl Hotel tarehe 27 na 28 June 2012

Ntawapostia hiyo ducu kesho ni ndefu sana na hapa natumia simu sio Computer

Siku njema
 
Nakukumbusha mkuu...
Asante
 
Back
Top Bottom