Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
TCU kwa wakati huu imevikwa jukumu la ku-control elimu ya juu Tanzania. Mojawapo ya kubwa wanalofanya ni ku-harmonize viwango vya wanafunzi wanaodahiliwa katika vyuo vikuu vingi nchini. Hili ni jambo zuri lakini ni vyema pia TCU waka-control viwango vya wanafunzi wanaohitimu vyuo vikuu
Kumekuwapo na hali ya quality ya degree zinazotolewa katika vyuo tofauti kupata reputation tofauti na jamii. Mtakumbuka mwaka jana taasisi moja ilipotangaza nafasi za kazi gazetini, ilidokeza wazi kuwa haihitaji maombi kutoka kwa wahitimu wa UDOM, wakitoa sababu kuwa quality za degree za chuo kile ni za chini sana
Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kuwa baadhi ya vyuo kuwa na standards tofauti katika ku-assess wanafunzi wao, na hii inapelekea baadhi ya waajiri na jamii kwa ujumla kutoziamini au kuzithamini degrees zinazotoka katika vyuo fulani. Siku hizi ukimwambia mtu nina first class, ni jambo la kawaida kukuuliza, umesoma chuo gani...
Hali hii ni tofauti sana kwa mfano na mtu akikwambia nina division I form six, ambapo katika hali ya kawaida itaeleweka kuwa shule aliyosoma, haidetermine sana quality ya hiyo division I kwa kuwa alitahiniwa na NECTA
Baada ya utangulizi huo mfupi, naomba nipendekeze kwa kifupi sana yafuatayo
1. TCU ifanye harmonization and standardization ya curriculum za kozi zote zinazofundishwa katika vyuo vilivyoko chini yake
2. TCU ianzishe bodi ya mitihani (au baraza la mitihani), na kuwa pamoja na mitihani inayofanyika vyuoni kila mwisho wa semester, uwepo mtihani mmoja wa mwisho unaotolewa na kuratibiwa na TCU kwa kozi zote.
3. Transcripts na vyeti vianishe daraja la degree ya mhitimu ikizingatia evaluation ya ndani (kwa kuangalia matokeo ya mitihani ya mwisho wa semesters inayotolewa mavyuoni) na evaluation ya TCU (kwa kuangalia matokeo ya mtihani wa mwisho unaotolewa na TCU)
Hii iwe sawa na kunavtokuwa na mitihani ya CPA kwa wale wa mambo ya uhasibu.
Nawasilisha