Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

ni kweli inasikitisha sana ukilinganisha na miaka aliyopoteza,wakati kuna watu hawajasoma hata masters wanapata zaidi ya hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajapoteza chochote kwanza anasomeshwa bure na wengi wanatafutiwa Scholarships’s huko duniani anaongeza exposure yeye mwenyewe kimaisha

Wewe sema GPA ilipita kushoto 😂😂😂
 
Mbona.kila kitu ni connection wakuu..hapa napo inabidi..wa recruit watu wanye ..akili za practical cio kuangalia ukubwa wa GPA..kwenye karatasi..😁😁😁
Nawasilisha hoja...
 
Wakati wenzako wanasoma wewe ulikua unacheza gemu, kaa tulia dawa ikuingie.
 
Guideline sio Sheria mkuu. Vyuo havifungwi kutumia. Bado GPA ya Muslim University of Morogoro si sawa na SUA. Usijifariji peleka mtoto vyuo vinavyojitambua

Ongezea na Tumaini hapo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiwa mtamu kwenye kuandaa Projects ndio kabisa! Wewe unakuwa hazina kwa chuo na mipunga ni ya chap!

Kuna Doc mmoja ananiambiaga akitaka kuagiza gari anaadaa paper zake kadhaa tu. Akikamilisha tu mipunga ni chap.
Kwa hiyo motives yake ni self preservation ndo maana tuna project nyingi lakin hatupigi hatua so sad
 
Hahahaaa umeongea point ila vp una shida gani na wenye first class?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…